Can I come in?

Can I come in?

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
6,634
Reaction score
3,661
Baada ya kuwa mgeni kwa muda mrefu,leo nimepata msukumo wa kujitambulisha kwenu great thinkers!!Naomba mnipokee!!
 
Umekuja na zawadi gani?

Marejesho ya DECI au ya nini wewe?

Sorry, are yo he/she?

Karibu sana, usisahau nimekuwa wa kwanza kukukaribisha.
 
Umekuja na zawadi gani?

Marejesho ya DECI au ya nini wewe?

Sorry, are yo he/she?

Karibu sana, usisahau nimekuwa wa kwanza

kukukaribisha.

Asante sana Asprin kwa kunikaribisha jamvini!!Mimi ni she tena nipo A town!!
Umenifurahisha sana ila sijaja kurejesha marejesho ya DECI!
 
Baada ya kuwa mgeni kwa muda mrefu,leo nimepata msukumo wa kujitambulisha kwenu great thinkers!!Naomba mnipokee!!


I don't think so the room is full.

Wageni wengine sio wa kuwakaribisha wewe ulikuwa unachungulia tu ngoja kwanza tufanye kikao, kabla ya kukupokea.

Ooops kumbe ni marejesho ... ..... ....... karibu sana.
 
Back
Top Bottom