inategemea na aina ya laptop unayotumia nyingi za sasa hiv zinakuwa na option ya kubadili hadi processor.so itakuwa vizuri kama una utundu mdogo tu ufungue uangalie kama ni yakupachika au imechomelewa coz it can be either kama imechomelewa hautaweza kubadili but kama ni yakupachika unaweza kwenda kwa fundi akafanya hyoo ku upgrade.machinga complex huwa wanafanya hizo kazi unaweza watembelea hapo mkuu