Hakuna hoja hapo zaidi ya False Equivalencies.
Kama huelewi utofauti kati ya logic na hiyo mifano yako inayojichanganya yenyewe, hilo ni tatizo lako, siyo langu.
If you were truly well versed in logic, you wouldn't have made such a thoughtless remark:
sababu lazima isababishwe!
Hivi did you even take a second to think about that statement, au mradi ujibu tu! ! ! ! Nilisoma nikachoka mimi shemeji ya Mwandambo.
Nimekupa hiyo mifano ku reflect ulichofanya, kitu ambacho utaendelea kufanya, na ambacho huwa naona kinafanyika kwenye mijadala ya aina hii if I go on entertaining you:
inconsistent use of logical reasoning.
Logic is just a
convinience to you:
You think you can
just say things, semantically empty things, meaningless words, nonensense masquerading as depth, conceptually confused statements,
and then literally accuse me of logical fallacies after I do the same to demonstrate
your fallacy.
Fallacy. Falasi. Farasi.
Usikia
sebene la mkana Mungu ndo hilo, na mimi
sichezi.
Kwa kifupi "sababu lazima isababishwe" is just
gibberish.
Narudia (last repy):
1) The
universe (space, time, matter) had a
beginning. There was a point in time the universe wasn't there. Scientists have proven this.
Notice that
time itself had a beginning. (Nimekuuliza can you imagine being outside of time? ? ? Huo ulimwengu ulio nje ya muda ukoje? ? ?)
So because the universe had a beggining, the universe has a
cause (kisababishi).
2)
OUR LORD GOD is the
uncaused cause. Kisababishi kisicho na kisababishi.
This doesnt mean he caused himself, it means he doesn't need a cause to exist.
3)
HE is the
sustaining cause. Kisababishi kinachodumisha. He is the reason the Universe is existing right now. He is the one holding everything together.
4)
HE is a
Necessary being. Anayehitajika kuwepo. He cannot
not exist because he is
necessary for existence as we know it.
(If you suggest that there could be an infinite chain of universes coming into existence producing the next universe: first there's
no evidence for this, second this
idea doesnt answer why that chain exists in the first place. The universes will always be depending on something else. Why are the universes there in the first place?)
The universe simply exists because
there is a being with characteristics that point to him as the cause of the Universe!
5) The universe ingeweza
isi exist because:
i) it depends on
prior conditions to exist, in which case it could've failed to exist if the conditions weren't met.
ii) its composed of parts (time, space, matter) which change, because of this it requires an explanation. Eg. A seed turns to a tree, how? Water at some point freezes, when? We are only moving forward in time we cannot go back, why?
So the universe is not
necessary, because it could not have existed. But it does, and its changing, So it
requires an explanation.
6)
GOD is the
foundation of the universe (existence) as we know it. He is
necessary.
Ni kama
umeme na
electronics. Bila umeme electronics haziwaki.
MUNGU ni umeme wa ulimwengu. Bila MUNGU ulimwengu
hauwaki / hauanzi.
7)
GOD is:
i) Necessary for existence as we know it, and he himself doesn't depend on anything else,
ii) Eternal, he is outside of time, he has no beggining nor end, he doesnt change / decay with time,
iii) Immaterial, he is outside of space and matter,
iv) Indivisible, he is
One, he is not made up of different parts which are dependent, eg. you need space to move in time, you need the sun for plants to grow.
(the persons of the Trinity are not dependent, it is
One being manifesting in three persons).
v) Unchangeable, he is
perfect, he is
complete. There is nothing he can become which he is not already. He has no unrealised potential.
Ndomana ni kosa kuuliza kama anaweza kutengeneza kitu kizito kuliko anachoweza kubeba. Uzito ni sifa ya
matter he's outside of matter.
Kuuliza kama anaweza kubeba kitu fulani ni ku treat kama yuko ulimwenguni humu wakati hayupo humu.
Ni kama umuulize programmer wa game: "unaweza kutengeneza jiwe kwenye game ya PC zito sana ambalo wewe programmer huwezi kubeba huku uraiani?"
Sasa hayo ya kwenye game, mambo ya kubeba na uzito yako kwenye game. Hata atengeneze jiwe la tani 10000 kwenye game, Programmer hayupo humo.
Hatuwezi kujua nguvu za kubeba za Programmer kwa kutumia hiyo game yake.
Unalinganisha material world na Immaterial world.
Unalinganisha a world confined in time na world outside of time.
8)
Swali lako: If GOD doesn't require proof of existence... linanichosha mimi kinyozi wa Mwandambo. Who told you God doesn't require proof of existence?
Nothing screams
THE LORD GOD than the
Universe itself.
If you want to see GOD uache dharau. Dharau zinawafunga macho.
Kuona mambo ni ya
kawaiiiiida.
Show some
appreciation.
Acknowledge the
Mind, the
Intelligence, the
Power, the
Might the
Love behind creation.
Programmer akizindua program yake leo ma AI manini anaonekana na akili sana, atapewa masifa yoote na ma noble prize, lakini the most
complex program of all time yani hadi leo tumeielewa by only 2%,
the DNA, hiyo ya kawaiiiiida ilitokea tu, hakuna akili yoyote iliyotumika ku program DNA.
Daktari akifanya operation ngumu, akimuwekea mtu moyo wa mtu mwingine anasifiwa, aliyeumba huo moyo anaonwa wa kawaiiiida (hayupo).
Mchoraji akichora mandhari kwa uhalisia anasifiwa, aliyeumba hiyo mandhari anaonwa wa kawaiiiida (hayupo).
Mpishi akipika chakula kizuri anasifiwa, aliyeumba hayo mazao wa kawaiiiida (hayupo).
Wana anga wakienda huko juu wanaonekana na akili sana, aliyeumba hizo sayari na nyota wanazozifuata huko anaonekana wa kawaiiiiida (hayupo).
Wanasayansi wakigundua ma formula jinsi ulimwengu ulivyosetiwa kwa ufasaha kina Newton, Einstein wanasifiwa wana akili sana, aliye seti hizo formula wa kawaiiiiida (hayupo).
ACHENI DHARAU MUMUONE MUNGU.
Na viburi muache mnataka sana kuwa MUNGU na hamuwi! ! !
9)
GOD himself took a form of man and came down on earth as a
humble carpenter.
Si wakamuua! ! ! ! !
i) He turned water to wine
ii) He fed thousands from a single plate
iii) He calmed storms
iv) He walked on water
v) He healed the sick by a single touch without charging a single fee
vi) Viwete walitembea
vii) Vipofu waliona
viii) Wafu walifufuliwa
ix) He himself
cheated death like it was a
minor inconvenience: they
killed him and after 3 days he was
back to life
x) He fulfilled over 300 prophecies that were written hundreds of years before he was came to earth
He brought
HOPE to us who
believe.
Hakuwa na cheo chochote serikalini.
Hakuwa na Jeshi.
Hakuwa na Afisa masoko.
Hakuwa na machawa wa kumpamba kila mahali, waliopaswa kuwa machawa wake ilifika point wanamkimbia wanamkana wamsema hawamjui.
Hata pa kulala hakuwa napo.
Hakuwa na hela tuseme anagawa hela.
Alikuwa na kandambili tu, lakini
mamlaka yake hayakutia shaka.
Maelfu walimfuata. Sio tu kumfuata mfanya miujiza, walimfuata
Mfalme na Muokozi. MUNGU Mkuu. Walimsujudia.
Hata waliomkana kwa uoga, baadae walikubali kuuawa ili kutoa ushuhuda kwa ajili ya huyu Mwana wa Binadamu.
Almost 2000 years later,
Maelfu tunamfuata
YESU. Tunamtumikia. Tumfuate nani mwingine? ? ?
Hakunaaa.
10) Alikuja kama
fundi seremala mmemuua.
Anarudi kama
MFALME sasa kuchukua
milki yake, maana muda mfupi aliotoa wa
laana juu ya dunia
umekwisha, na kila jicho litamuona,
hata wale waliomuua watamuona, hata wanaomdharau wakati huu watamuona, na goti watapiga.
Sio atawalazimisha wapige! ! ! Ule utukufu atakaokuja nao watajikuta tu wamempigia magoti! !
“Look, I am coming soon, bringing my reward with me to repay all people according to their deeds.
I am the Alpha and the Omega, the First and the Last, the Beginning and the End.”
Blessed are those who wash their robes. They will be permitted to enter through the gates of the city and eat the fruit from the tree of life.
Outside the city are the dogs—the sorcerers, the sexually immoral, the murderers, the idol worshipers, and all who love to live a lie."
Revelation.22.12-15.NLT