Mungu hayupo.unajua inamaanisha nn kwa hii kauli?
yeye hazungumzii shetani anazungumzia uwezo wa MunguShetani huonekana ana nguvu sana ukiangalia jinsi anavyozungumziwa hapa ulimwenguni na shetani ndio huonekana anashindana na Mungu, lakini pia shetani huyo huyo kaumbwa na Mungu.
Kwa mtazamo wangu, kama kufanya hivyo kwa Mungu ndio kunaonyesha huo uwezo wake na haileti contradiction basi tuseme Mungu anaweza kufanya hivyo.yeye hazungumzii shetani anazungumzia uwezo wa Mungu
Wewe chawa kaa na uchawa wakounajua inamaanisha nn kwa hii kauli?
Naumia nikiwa magogoniunaumia ukiwa wap
Nasikia umeungana sasa na Genz🤣 🤣 ulitoroka mwana nyamala nn, depression ulionayo sio ya kawaida
Wewe nasikia unaakili ya kuvukia barabarawenye akili tu mm ndo naungana nao