Sijui nani atakayekuwa Mhe. Rais afuataye, lakini napenda awe Mhe. Mama Samia Suluhu:
1. Kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar (kufikia 2025 itakuwa miaka 30 toka Jamhuri iongozwe na Rais Mzanzibari).
2. Anatokea Pwani ya Bahari (Nyerere (katokea bara); Mwinyi (pwani); Mkapa (bara); Kikwete (pwani): Magufuli (bara); Suluhu (pwani).
3. Ataendeleza mzunguko wa Rais mkali kufuatiwa na mpole. (Nyerere (mkali); Mwinyi (mpole); Mkapa (mkali); Kikwete (mpole): Magufuli (mkali); Suluhu (mpole). Mzunguko wa ukali na upole unawezesha wananchi kutulia na kufurahia maisha.
Of course, 'ukali' na 'upole' ni vitu subjective.