Nivek11
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 202
- 72
maybe ZenjiHussein Mwinyi
maybe ZenjiHussein Mwinyi
Jaffo Rais ajayeI'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!
halafu namba zenyewe za fibonacci sequence balaaaUzi tata!! Naona kamanda mkuu ataendeleza jahazi kwa mara nyingine tena mpaka tutapomaliza kuzisoma namba zote ziishe.
Hivi huyu jamaa wa Dar anasifiwaga sana, kabuni nini hasa ambacho ni remarkable?Kama tunataka viongozi wabunifu na wachapa kazi basi naona Makonda au Jaffo fits the bill.
kwahiyo sheikh yahya ndio anaijua kesho??????????????Tunajipa kazi za utabiri,tuwaachie wakina sheikh yahya.hakuna anayeijua kesho
I'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!😂
Hata asipoachia kwa hiari kuna siku ataachia kwa lazima. Kuna kupinduliwa, kufa n.kMkulu aache ikulu kweli!!! maweeeee!!
I'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!
Profesa Makame Mbalawa
Kasim Majaliwa
Dr.Hussein Ally Mwinyi
Jafo
Samiha Suluhu Anaweza kuwa rais wa Zanzibar huyu 2020
January Makamba
Not in the list
Hussein Mwinyi