Camping Tents(Hema)

abour

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
735
Reaction score
311
Natafuta camping tents mpya au hata iliyotumika lakini iko kwenye hali nzuri,.
Iwe nauwezo wakuhifadhi watu wawili.
Kama kunamtu anayo au unafahamu mahali ambapo naweza nikapata anifahamishe..


Nawasilisha
 
Kama hizi hapo chini..
 

Attachments

  • 1450375694166.jpg
    8.3 KB · Views: 141
  • 1450375772273.jpg
    4.2 KB · Views: 168
  • 1450375795315.jpg
    12.2 KB · Views: 143
  • 1450375811298.jpg
    9.7 KB · Views: 166
Pale GAME ya Mlimani City zipo tents za aina mbali mbali.
 
Nenda open sanit. Iko karibu na taa za tabata ukitokea ubungo, upande wa kushoto. Just before the petrol station.
 
Nenda open sanit. Iko karibu na taa za tabata ukitokea ubungo, upande wa kushoto. Just before the petrol station.

Hakuna address mkuu naona duh maelekezo mengi mengi! Hujambo lkn wew?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…