Campaign: Sumaye bring back our land - sauti toka gerezani

YAHAYAMOHAMED1970

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
229
Reaction score
96
Asalaleeeee!

Majuzi Slaa alisema Fredrick Sumaye akiwa waziri mkuu alipora ardhi tajwa hapo juu iliyokuwa mali ya serikali. Hadi leo hajajibu kashfa nyepesi kama hiyo maana yake ni kweli tupu yakheeee.

Watu wana dhambi na roho ngumu, shida yote iliyopo gerezani bado Sumaye anawanyang`anya ardhi ndogo waliyonayo!!! Majuzi anaropoka yeye ni malaika kwa usafi.

Hiyo ni sauti toka gerezani ikisema "Sumaye bring back our land".
 
Kwani kapora leo? Hujui kuwa Huko CCM wapo waliopora zaidi ya hiviyo aliyonayo Sumaye? Anza kwanza kwenu ndio utoke kwa jirani
 
Sheria ikija itamchukua kwanza yeye na kila mmoja atapandishwa kwa mda wake wala si lazima eti kwasababu Fulani naye kakosa basi nisishitakiwe mpaka naye apelekwe ..tunampeleka Sumaye kwanza ili ajue hii nchi ni Mali ya watanzania
 
Alikwapuaje hiyo ardhi?

wewe lazima utakuwa mbwa koko tu kwani wewe nani alikuambia mtz yeyote awe kiongozi au asiwe kiongozi aruhusiwi kuwa na mashamba makubwa nchini kwake unataka uwaone waharabu na wazungu ndio wamiliki mashamba apa tz ndio sera zako izo mimi najua m2 yeyote kuwa na shamba kubwa sio kosa ila unatakiwa uwe unaliendeleza kwa kilimo safi na mimi uku kwetu tunayo mashamba makubwa mpaka tunaamua kulima bangi na inalipa vizuri mno
 
Ukawa sijui nini kimeturoga! Ajenda zoooote za ufisadi tumezitia mfukoni hazina mashiko teeena. Hivi kweli tumeamua kukumbatia ufisadi kweli? ? Kweli Mbowe emeamua kuuza uhuru wako kirahisi hivyo.??? Hivi mlikuwa mnatuandamanisha mpaka wengine wanavunjika miguu kwa sababu ganiiii? ? Mmesahau yooote mmeyaona ya kipuuzi kwa vihela vya rushwa? ?
Haya ngoja sasa tuisome namba na baada ya uchaguzi nasema Mbowe na team yako hatutataka kuwaona maofisini. NI BORA CCM WAENDELEE KUTAWALA TUU. WAO WAMEJIPANGA SISI WACHA TUENDELEE KUNYOOSHANA MAANA HATUJAWA TAYARI KUCHUKUA DOLA KABISAAAAAAAA
 
Kwani kapora leo? Hujui kuwa Huko CCM wapo waliopora zaidi ya hiviyo aliyonayo Sumaye? Anza kwanza kwenu ndio utoke kwa jirani

Eti huko CCM mbona wanapora!!! Seriously hii ndio argument????? It means kupora ni sawa? kwakuwa CCM wanapora basi na CHADEMA wapore?????? Ndio mnakuja kuwakomboa Watanzania??? Usinifanye niamini Mr.BM was right!
 
Nakusamehe kutokuelewa kwako kunategemea upeo wako na akili yako. Argument inakutaka uanze kwanza huko kwenu ndio utuambie sasa unataka na nje kuwe kama kwenu. Unaona ubaya wa umiliki wa shamba kwa Sumaye tu hutaki kuona kwa Mzindakaya na hao nwengine unaowatumikia?
 
Sheria ikija itamchukua kwanza yeye na kila mmoja atapandishwa kwa mda wake wala si lazima eti kwasababu Fulani naye kakosa basi nisishitakiwe mpaka naye apelekwe ..tunampeleka Sumaye kwanza ili ajue hii nchi ni Mali ya watanzania

Ngoja October 25 2015 iwaonyeshe kwamba mnatakiwa muanze kujipeleka jela nyie na utawala wenu visasi
 
Eti huko CCM mbona wanapora!!! Seriously hii ndio argument????? It means kupora ni sawa? kwakuwa CCM wanapora basi na CHADEMA wapore?????? Ndio mnakuja kuwakomboa Watanzania??? Usinifanye niamini Mr.BM was right!

Kila siku wanahubiri ukombozi swali la kujiuliza anaeleta huo ukombozi ni nani?
 
Nyie ukawa teteni tu ccm B hao hawo wametajirika kwa ajili ya ccm sasa wanaona hali ngumu wamekuja kwenu kujilinda
 
Sumaye huyu huyu anayejiona mtakatifu? Au yalikuwa akijiringanisha na lowasa aliyedriki mpaka kusogeza mpaka wa Wilaya ili spate ardhi zaidi?
 
wewe lazima utakuwa mbwa koko tu kwani wewe nani alikuambia mtz yeyote awe kiongozi au asiwe kiongozi aruhusiwi kuwa na mashamba makubwa nchini kwake unataka uwaone waharabu na wazungu ndio wamiliki mashamba apa tz ndio sera zako izo mimi najua m2 yeyote kuwa na shamba kubwa sio kosa ila unatakiwa uwe unaliendeleza kwa kilimo safi na mimi uku kwetu tunayo mashamba makubwa mpaka tunaamua kulima bangi na inalipa vizuri mno

naona unatoka povu tu yakheee. hoja siyo kumiliki ardhi kihalali, yeyote anaruhusiwa.
tatizo ni kujimilikisha shamba la magereza morogoro. wafungwa wanakula mlo mmoja kwa siku then weye waenda wanyang'anya ardhi iliyobaki, anataka wafe njaa!? mchana kweupe anasema anauchungu na watz na anausafi wa malaika
 
Nakusamehe kutokuelewa kwako kunategemea upeo wako na akili yako. Argument inakutaka uanze kwanza huko kwenu ndio utuambie sasa unataka na nje kuwe kama kwenu. Unaona ubaya wa umiliki wa shamba kwa Sumaye tu hutaki kuona kwa Mzindakaya na hao nwengine unaowatumikia?

afwe ulowataja hapo juu kuna aliyepora shamba la magereza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom