campaign financing

Andrew Nyerere

Verified User
Joined
Nov 10, 2008
Messages
3,012
Likes
1,221
Points
280

Andrew Nyerere

Verified User
Joined Nov 10, 2008
3,012 1,221 280
Kuna makala katika Raia Mwema leo inazungumzia kuhusu campaign financing. Inasema mkutano utafanyika 18th January,kujadili hili swala;kama Makampuni ya wawekezaji yanaruhusiwa kutoa michango,na kama wafadhili kutoka nchi za nje,wanaruhusiwa kutoa fedha na vifaa.
Inaelekea wazo la kuwaruhusu watu wa nje kuchangia linawakera CCM, na wazo la Makampuni ya wawekezaji kuchangia linawakera CHADEMA.
Kwa nini,sijui. Kwa nini isiwe halali kwa Meneja wa Kampeni wa Chama chochote,kwenda kwa Makampuni haya,na kudai kwamba Chama chake kitashinda,na kwamba wakitoa mchango,it will be an investment,it will be good business sense?
Kwa nini iwe kosa kwa watu wa Nje kuchangia Uchaguzi kwa hali na mali. Kwa nini kuruhusu watu wa Nje kuchangia iwe ahueni kwa Chadema na CUF, na sio kwa CCM?
Halafu matatizo ya michango;wengine wakitoa michango,wanataka kila mtu ajue;wengine wakitoa michango,hawataki hata mtu mmoja ajue.
 

Forum statistics

Threads 1,190,580
Members 451,229
Posts 27,675,890