Aiseh ingekuwa pm YAKO inafunguka ningeshea na wewe kuhusiana na ishu FULANI ambayo imenitokea hivi karibuni huku kwangu kama miezi miwili hivi!!yaani wa 12 na pili mwaka huu kama tarehe 3 hivi ya Mwezi HUU! AISEH japo na wewe sikuamini unaweza ukanichomeka KWENYE shida!!japo nimepigwa na kitu kizito kichwani!!