GO FOR CAMI my friend, Spacio nzuri sana kwa muonekano but kwa matumizi ya barabara zisizo na lami ni tatizo. hii ni sawa na VITS.
Cami ni gari ngumu sana, ipo juuu, pia spare zipo nyingi tuu. Na nikujuze RUSH ni new model ya CAMI. Cami sikuhizi hakuna ila ndo hizo rush so gharama za rushi zipo juu kidogo. hivyo endapo utashindwa nunua rush nakushauri nunua Cami.
binafsi nina CAMI nazunguka nayo mjini, napiga nayo safari za moshi kama sana na kuzingatia mazingira ya moshi vijijini. CAMI yangu inamiaka 6 sasa na sina mpango wa kuuza