Opposition groups in Cameroon are planning "Egypt-like" protests Wednesday to call for the president's ouster after almost three decades in power.
President Paul Biya is running for re-election later this year.
"People yearn to see a change in government. He's been in place for 28 years," said Kah Walla, 45, an opposition member who is also running for president.
source CNN
Cameroonians plan anti-government protests - CNN.com
Jamani na sisi kwetu lini?
Kweli kabisa JK ni miaka sita tu sasa na 2015 hawezi kuendelea tena, lakini ccm ni karibia miaka 33 + ya TANU ni 50 nusu karne na bado 2015 wataiba kura sasa inatosha waondoke waache sera nyingine zitawale na itatusaidia sana. Uprising ni muhimu TZJK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.
Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
6 years may be worse than 30 years in power hata kama umekaa mwaka mmoja kama haufai unaondolewa tu. Kinachopingwa ni system na CCM iliyopo madarakani kwa miongo zaidi ya 3 ukiunganisha na TANU inafika miaka zaidi ya 50. Halafu hao majeruhi unaowasema there is no gain without pain kama tungeogopa vifo tusingepigana vita na Uganda.JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.
Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.

Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?
Miaka mitano lakini Kikwete anafanya mabaya zaidi ya Gadaffi alivyowafanyia wa libya kwa miaka 30, anatuibia nje nje (Dowans) I will never forget.Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?
Kwa hiyo hata dikteta atutawale tu kwa vie ataongoza mwaka mmoja, you must be joking.JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.
Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
Yote hayo,hayafanani na Tanzania.Tunisia (Ben Alli) 23 yrs,Egypt(Mubarak) 30yrs,Libya (Gaddafi) 40 yrs na sasa Cameroon(Biya) 28 yrs mbona ni watu tu na miaka yao ya kukaa madarakani.Tanzania (Kikwete) 5 yrs wapi na wapi?
JK is only 6 yrs in power so bado hiyo reason ya cameroun can not work for us. unless there are other reasons.
Maandamano yanahitaji kuandaliwa psychologically maana kuandamana kunamaanisha vifo, ulemavu na majeruhi mengi tu, nani awe wa kwanza kutoka na kukumbana na hayo?
Sasa uhakikishe kwamba wakati wote tunakutegemea wewe kwa updates juu ya Cameroon mpaka kieleweke na wala si kuleta tu kijipengele halafu uje upotee!!! Big up sana kwa ripoti yako.Opposition groups in Cameroon are planning "Egypt-like" protests Wednesday to call for the president's ouster after almost three decades in power.