Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Kawachana,kwa kuwa wanawatumia watakavyo,hawana nguvu ya kusimama na kusema hapana,kwa sababu wako rahisi kuliko unavyodhania.Ukisha jirahisi kwa manufaa yako,daima utakuwa mtumwa.
Jibu muhafaka. Hawa wa sasa wote ni bendera fuata upepo. Na toka lini Cameron akawa msemaji wa Waarabu? Vumbi likitulia na Waarabu wakagundua kuwa wamepigwa changa la macho na akina Cameron hapatakalika. Ni akina Cameron hao hao watakaoendesha kampeni za kuwapinga watu wanaopigania uhuru wa kweli. Tungoje.Wangemwambia k@#$nina zake. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya ukoloni. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya apartheid.
Leo anathubutu kutuambia sisi juu ya Arab spring. k^%$nina zake. Wangekuwepo leo akina Nyerere na Nkrumah wangempa jibu lake stahiki.
Alikuwa hajazaliwa, na hata kama alikuwa amezaliwa alikuwa mtoto. Tayari leo ni Waziri Mkuu wa Uingereza wakati Africa bado inaongozwa na vijibabu!Wangemwambia k@#$nina zake. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya ukoloni. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya apartheid.
Leo anathubutu kutuambia sisi juu ya Arab spring. k^%$nina zake. Wangekuwepo leo akina Nyerere na Nkrumah wangempa jibu lake stahiki.
Wangemwambia k@#$nina zake. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya ukoloni. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya apartheid.
Leo anathubutu kutuambia sisi juu ya Arab spring. k^%$nina zake. Wangekuwepo leo akina Nyerere na Nkrumah wangempa jibu lake stahiki.
Kwanini hawakutoka nje hao "miafrika" mbona wazungu walitoka wakati Mbabe wa Iran alipoanza kuchana. Jamani Afrika mie ningekuwa na uwezo ningeipotezea yote duniani isiwepo; huku kudhalilishwa huku.Viongozi wa Africa waliopo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa sijui wanajisikiaje wakati waziri mkuu wa uingereza, David Cameron, anawapiga madongo wazi wazi. Yaani Cameron anaubavu wa kuwachana chana hawa jamaa katika karne hii na wao wanapiga makofi? Africa kazi tunayo!
Cameron criticises the African Union's response to the Arab Spring.
"Many will find it hard to understand why countries in Southern Africa which have fought so hard to throw off oppression have been so slow to respond to the Arab Spring." - David Cameron, British PM at UN General Assembly. 23 September 2011
Hotuba yake nzima iko kwenye kabrasha hii ya PDF
View attachment 37687