Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
Ha ha ha
Ya ma gay inakuhusu sana ki hasi maana wote wakiwa magay utatoa wapi mademu wa kupigia misele, teh teh teh. Lakini nikiwa na wake 100 inakuhusu ki chanya maana utapata vitotoo vya kupigia misele. kwikwi
"As in Canada, polygamy is illegal in Britain. The punishment there is seven years in jail - it's five in Canada. "
Watu wote hawawezi kuwa magay kwa wakati mmoja bana! Na ndo maana sioni kama inanihusu hata kidogo.