camera za siri

camera za siri

Ukifanikiwa tafadhali tuletee nakala ya video
 
ukifika uk msalimie arsene wenger mpe pole kwa matatizo ya talaka yanayo mkabili kwa sasa!
 
mm pia. mm niko chelsea so ntamletea mjanja wake mourinyo wazinguane kidogo
 
wadau hii teknolojia inakua kwa kasi sana. kuna faida na hasara. mm mwenzenu nataka nisafiri miez mi3 nje sasa nataka nimwekee mke wang mtego. nijue kama ana mchepuko au laa. unajua nahis anatumia line nyinge coz kwa kutumia mbinu zangu za kiintelejensia cjampata. naskia kuna ----- huwa ana mminya tena kisamvu na nimeona mlango haujafungwa. mm natumia mtandao wa voda tigo sitaki. sasa siwez kumsamehe. nataka nipate udhibitisho nimteme moja kwa moja kwan na goma jingine kali.
sasa wana teknolojia ntapata wap hzi camera hapa bongo kabla sijadondoka UK. na vipi usalama wake hawez shtuka ije iwe kisanga baadae.
plz naomben maujanza nimmalize huyu mshenzi.
hizi ndude nazikubal coz hata bank na sehem nyingine zipo kibao. pia vipi memory capacity maana 3 months ni mingi.
natanguliza shukran

Kwa iyo unataka kutega katika kila gesti housi? Au Kwenye barabara kuu.
 
kumla mke kisamvu naona shida sana. hebu fikiri akienda kuzaa cntatukanwa mm na manes na mm najulikana vibaya mno. so nataka nimteme moja kwa moja kwa kumkamata kabisa ili imuume

Cyber crime, huruhusiwa kujihusisha na privancy ya mtu.
 
Mbuzi na kuku...usikute hizo kamera walishakufungia we hujijui..manzi yenyewe janja,inaku-do
 
Back
Top Bottom