Camera nzuri kwa ajili ya utafiti

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Wakuu nahitaji camera itakayonisaidia katika mambo ya utafiti wa wadudu. Hivyo naomba msaada wa camera ya kununua kwa vigezo vifuatavyo
1. Uwezo wa kuona vitu vidogo sana
2. Uwezo wa kuona vitu vya mbali sana.
Angalau mita 200 kwa usahihi
3. Clearity ya image
4. Aina ya camera kati ya sony,
samsung na canon
5. Budget ni laki 6

Nawasilisha
 
vitu vidogo sana unamaanisha "microscopic" au udogo size ya sisimizi? nadhani unahitaji kamera yenye zoom kubwa kuanzia 20x
 
vitu vidogo sana unamaanisha "microscopic" au udogo size ya sisimizi? nadhani unahitaji kamera yenye zoom kubwa kuanzia 20x

yah. kama sisimizi. aina ya wadudu wanaoshambulja mazao
 
ni ya kwako ama umetumwa na mtu?maana kama ni fani yako ungesema inaitwaje?kuwa specific watu wakusaidie

Nataka kwa matumizi yangu mkuu. Bahati mbaya sina utalaam nazo ndo maana nimekuja kuuliza. Si kwamba natafuta mtu aniuzie, la hasha najua zilipo ila naomba ushauri ninunue ipi
 
Nataka kwa matumizi yangu mkuu. Bahati mbaya sina utalaam nazo ndo maana nimekuja kuuliza. Si kwamba natafuta mtu aniuzie, la hasha najua zilipo ila naomba ushauri ninunue ipi
Sasa mkuu unakujaje kutafuta kitu amabcho jina lake hujui,wewe unang'angánia unajua zipo tu,offcourse zipo,labda uliza basi hapa kwanza natafuta hii machine inaitwa jina gani la kitaalamu?watu wajue wanatafuta nini na watakuuzia kitu gani,
 
kwa laki 6 andika maumivu. jipange kwa walau 4m upate kamera nzuri na zoom zake za uhakika
 
Find this one please: Canon EOS-1D Mark IV DSLR totes 16MP. Try Mlimani City. Or any other Canon or Nikon DSLR Camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…