Camera man anahitajika

ERIK

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
623
315
Habari zenu ndugu, Nahitaji Cameraman mwenye uwezo wa kushoot movies, music video aina zote na documentary

Utafanya kazi katika kampuni yetu kwa makubaliano tutakayoafikiana, kama una kazi zako pia utafanyia katika Office yetu ambayo ina kila kitu!!

maelezo na mawasiliano zaidi 0658644485
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom