stanslous theobard
Member
- May 7, 2017
- 27
- 2
Sureushauri tu mkuu... vitu vya electronics kama camera jitahidi sana ununue mpya shop na warranty
Ushauri mzuri.ushauri tu mkuu... vitu vya electronics kama camera jitahidi sana ununue mpya shop na warranty
shukran kwa ushauri nduguushauri tu mkuu... vitu vya electronics kama camera jitahidi sana ununue mpya shop na warranty
0763175222 ntumie specification zake watspIpo penterx k-1000
Mkuu hii camera inasapoti wifiHabari OP! Bado unahitaji camera? Ipo Canon 650D bei yake ni 850,000 tu
Hapana. Hii ni professional Camera huwa hazina WiFi. Zenye WiFi huwa ni ndogondogo tuMkuu hii camera inasapoti wifi
Hapana zipo profesional camera zenye wifi mfano Nikon D7100,D7200 na nyingine za sasa nyingi yeye atangaze tu anabei gani tumpe mzigo huku mpakani kila kitu kinapatikanaHapana. Hii ni professional Camera huwa hazina WiFi. Zenye WiFi huwa ni ndogondogo tu
ushauri tu mkuu... vitu vya electronics kama camera jitahidi sana ununue mpya shop na warranty
Huyu naye imani imemkaa, mimi napenda mtumba kuliko Dukani nimekuwa nanunua sana Tunduma hasa disemba wanaleta bidhaa nzuri toka south Afrikakwa nini tununue mpya dukani?
camera ya kuuziwa barabarani yenye shutter count ndogo ubaya wake nini?
Huyu naye imani imemkaa, mimi napenda mtumba kuliko Dukani nimekuwa nanunua sana Tunduma hasa disemba wanaleta bidhaa nzuri toka south Afrika