sina uhakika kwa airtel na Voda ila katika tigo unaandika ondoa kwenda 15050 na hata wakikuambia tena umeupenda wimbo huu bonyeza *
acha nao ni waongo na hizo caller tune ni makampuni ambayo hayako katika kampuni hizo za simu na wameshtukiwa na wanamuziki walipotakiwa wawalipe wanamuziki. Swala hilo Zitto Kabwe aliliwakilisha Bungeni kwani wanachukua 80% ya malipo tunayokatwa kwa kusikiliza music huo na hayawafikii wanamuziki