Caller Phonebook ID

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Ungejisikiaje kama ungegundua rafiki,mpenzi na hata mke au mumeo ameku save kwa ID gani ktk simu yake! Niko ktk hatua za mwisho kama software developer kuweza kuwapatia wale watakaopenda bidhaa yangu hii mara itakapoingia sokoni.
Kama kuna comments kwa hili niko tayari kuzipokea!
 
Hii kitu italetaa kizazaa,juzi nimekagua simu ya wife nikakuta kanisave eti "BAHILI"
 
Lengo mahsusi la ku-develop hiyo software ya caller phonebook id ni nini? Huoni italeta mahusiano mabaya kati ya watu? Fahamu kwamba watu wanasave namba za watu kwa majina ya ajabu sana ambayo yatazua mtafaruku iwapo wenye majina hayo watayafahamu.Please, if you are a software developer, develop softwares that promote social harmony and peace!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…