Wapendwa wote naombeni kuuliza kwa nini ninapochagua option ya 'hide caller ID' sipati access kwenye mtandao au wenye mali wanazuia?au hawaoni umuhimu wake nakumbuka zamani hii option ilikuwa ikifanya kazi au inategemea aina ya simu?,naombeni mnijuze.