"Call recording" kwa simu za google pixel

Afisa Tabibu

JF-Expert Member
Oct 29, 2021
484
799
Nimeshindwa kurekodi wakat unaongea na mtu kt simu 2 za google pixel , pixel 4a na pixel 5.

Kuna namna ya kufanya ili uweze kurekodi mazungumzo wakat unaongea kwa kutumia hizi simu za google pixel?
 
Nimeshindwa kurekodi wakat unaongea na mtu kt simu 2 za google pixel , pixel 4a na pixel 5.

Kuna namna ya kufanya ili uweze kurekodi mazungumzo wakat unaongea kwa kutumia hizi simu za google pixel?
Pixel software yake inachanganya Kidogo nenda YouTube kachek video uelewe zaidi

Mimi yangu Ilikuwa haisomi majina badae nikagundua inatakiwa ufanya contact import ila setting kuipata ilisumbua Kidogo
 
Pixel software yake inachanganya Kidogo nenda YouTube kachek video uelewe zaidi

Mimi yangu Ilikuwa haisomi majina badae nikagundua inatakiwa ufanya contact import ila setting kuipata ilisumbua Kidogo
Mimi yangu yalikuja menyewe...ukiwa una save kwenye Gmail ukisha login tu account yako yanarudi..
 
Oppo A83 ina "inbuilt function" unarekodi wakati wa kuongea. Huitaji external app.
 
Kwa kifupi Google na Android wamejaribu kuondoa uwezo wa kurekodi calls kulinda privacy na usalama kwa hiyo kuipata feature hiyo kwenye Pixel simu ya Google sidhani kama utafanikiwa kirahisi.

Inabidi utafute simu zenye hiyo feature built in na manufacturer mwengine hasa wachina.
 
Back
Top Bottom