Call for Zanzibar peace pact after CCM victory

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
N SUMMARY
Political analysts say leaving CUF, which has been a powerful opposition force in the past 20 years out of the country’s politics could have serious repercussions on democracy and peace.
A statement released by 16 High Commissioners and ambassadors to Tanzania on Tuesday condemned the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) decision to proceed with the election without CUF.
Analysts now warn that failure to address the non-representation of CUF in parliament could increase calls for cessation and encourage more youth to join radical groups.
source TheEastAfrican
 
Truth must be told.....Shein must meet with Seif to resolve the situation immediately...... Otherwise the consequence will be high
 
In 1998 Tanzania and probably the world experienced the first Terrorist attack by using Car that was wired with explosives ....This attack was engeneered by Alqaeda,Usama bin laden was the prime suspect and some Radicalized Zanzibaris were also named among suspects.

In 1998 CUF(NGANGARI) was a major political opposition party in Tanzania mainland and Zanzibar...

despite this fact that CUF was handled lightly, Tanzania and US embassy to TZ yet suffered a terrorist attack

Radicalization did not start with and it will never end with CUF being in Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

By the way The gov of United Republic of Tanzania has one and only major task...and that is none but to deal with whomever try to bring ChokoChoko or Fyokofyoko in the name of radical islamist or christian or pagan...
 
Mimi ninavyojua ugaidi ni njia anayotumia mnyonge kudai haki yake.katiba yetu inatoa Uhuru, ruhusa na uwezo wa kila mtanzania kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi,ila ccm ama wanavunja katiba kwa makusudi au wanatulazimisha watanzania tusioamini katika Sera zao,tuliochoshwa na Sera zao kutafuta namna nyingine ya kuondokana na ccm.hata hivyo ccm ina majeshi imara na yasiyo na mfano wake dunia kwa hiyo hakuna shida watanzania wataendelea kupigia au kufanyia fyokofyoko zao chini ya uvungu
In 1998 Tanzania and probably the world experienced the first Terrorist attack by using Car that was wired with explosives ....This attack was engeneered by Alqaeda,Usama bin laden was the prime suspect and some Radicalized Zanzibaris were also named among suspects.

In 1998 CUF(NGANGARI) was a major political opposition party in Tanzania mainland and Zanzibar...

despite this fact that CUF was handled lightly, Tanzania and US embassy to TZ yet suffered a terrorist attack

Radicalization did not start with and it will never end with CUF being in Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

By the way The gov of United Republic of Tanzania has one and only major task...and that is none but to deal with whomever try to bring ChokoChoko or Fyokofyoko in the name of radical islamist or christian or pagan...
 
Strictly speaking, it ought to be treasonable to embrace any schemes aimed at locking CUF, which won the popular vote and 50% of legislative seats, out of official political scenes in Zanzibar.
 
Matokeo ya dhulma iliyofanywa na CCM Zanzibar ni kwa Wazanzibar kuuchukia zaidi muungano na kukua kwa fikra za kujitenga.
Wahafidhina wa CCM wameweka mbele maslahi yao binafsi at the expense ya nchi na Muungano. Honestly wananchi wengi wa Pemba wanajihisi wakiwa na wenye kutengwa, na hivyo kuiona Jamhuri ya Muungano kama ukuta wa kuwazuia kufikia malengo yao ya kidemokrasia. Unadhani hawa watu wataupenda Muungano?
 
Hii mambo ndo huwa sitaki kusikia,watu wamefanya mambo yao kibabe wamemaliza,halaf utasikia tunawaita katika meza ya mazungumzo!Tuzungumze nini tena wakati mmekwisha maliza?Kama sio kejeli ni nini?Cuf wasikubali kukaa katika meza za mazungumzo..Muongee nini sasa?
 
It is absolutely true.

Kama CCM wamewaona wananchi wa Zanzibar, waliotumia haki yao a kidemokrasia tarehe 25/10/2015 kwenye uchaguzi uliokuwa huru na haki, kuwa ni wapumbavu na malofa, iweje sasa baada ya wao CCM kujitwalia ushindi wa mezani waliopewa na jecha wa nafasi zote kuanzia Urai, pamoja na wawakilishi wa Baraza pamoja na madiwani wote, ndiyo waone umuhimu wa kuanzisha majadiliano?

Yawapasa CUF wakatae hila hizo za CCM kwa nguvu zao zote.

Iwapo CCM k wataendelea kusisitiza mazungumzo hayo, CUF watoe sharti moja tu kuwa wataingia kwenye mazungumzo iwapo tu CCM watayatambua matokeo ya tarehe 25/10/2015 na watayabatilisha matokeo ya uchaguzi wa jecha uliofanyika tarehe 20/03/2016.
 
Genius!
 
Truth must be told.....Shein must meet with Seif to resolve the situation immediately...... Otherwise the consequence will be high
Nitamshangaa sana Maalim Seif akikubali ujinga wa kuingia kwenye mazungumzo na wanafiki wa ccm , kwanza mazungumzo kuhusu nini ? leo chotara aitwe kwenye mazungumzo ili iweje ? ccm inaamini katika vifaru na makombora acheni iendelee navyo .
 
It is absolutely true.

Kama CCM wamewaona wananchi wa Zanzibar, waliotumia haki yao a kidemokrasia tarehe 25/10/2015 kwenye uchaguzi uliokuwa huru na haki, kuwa ni wapumbavu na malofa, iweje sasa baada ya wao CCM kujitwalia ushindi wa mezani waliopewa na jecha wa nafasi zote kuanzia Urai, pamoja na wawakilishi wa Baraza pamoja na madiwani wote, ndiyo waone umuhimu wa kuanzisha majadiliano?

Yawapasa CUF wakatae hila hizo za CCM kwa nguvu zao zote.

Iwapo CCM k wataendelea kusisitiza mazungumzo hayo, CUF watoe sharti moja tu kuwa wataingia kwenye mazungumzo iwapo tu CCM watayatambua matokeo ya tarehe 25/10/2015 na watayabatilisha matokeo ya uchaguzi wa jecha uliofanyika tarehe 20/03/2016.
Mungu akupe baraka zote katika sikukuu hii ya pasaka .
 
Heshima sana kwako mkuu ila ulichokiandika sioni ni vipi kitatimia ,yaani ccm wayatambue matokeo ya maalim Seif ya 25/10 ? Matokeo yaliyowafanya wafute uchaguzi kama haitoshi uchaguzi mwingine ukaitishwa na wakamwapisha raisi wao ,nadhani ccm wako radhi Magufuli ahamie upinzani hata sasa hivi ikiwezekana lakini sio kutambua matokeo ya uchaguzi wa kumpa Seif ushindi
 
Hii mambo ndo huwa sitaki kusikia,watu wamefanya mambo yao kibabe wamemaliza,halaf utasikia tunawaita katika meza ya mazungumzo!Tuzungumze nini tena wakati mmekwisha maliza?Kama sio kejeli ni nini?Cuf wasikubali kukaa katika meza za mazungumzo..Muongee nini sasa?
http:// hi ndio tabia ya viongozi wengi madikteta africa .kuna kitu wanakiita 'catch first'and compromise will come after.

Hata nkurunzinza ndivo alivofanya .kama ulvosema cuf wasikubali mazungumzo mpaka dr shein na yeye akae pembeni
 
Back
Top Bottom