Call for interview: Hakimu mkazi II

Call for interview: Hakimu mkazi II

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Wadau tume ya mahakama imetoa majina mengi kwa walioomba nafasi mbalimbali. Someni mwananchi ya Leo kuona NA kujiaandaa kwa walioitwa.
 
Nimejaribu kutafuta hayo majina kwenye web site yao lakn nimekosa. Ninalo gazette hapa taja jina lako nikuangalize NA nafas uliyoomba.
 
Nimejaribu kutafuta hayo majina kwenye web site yao lakn nimekosa. Ninalo gazette hapa taja jina lako nikuangalize NA nafas uliyoomba.

Niangalizie NGW'ANASHIJA NGW'IZUKULU JILALA nafasi hakimu II.
 
Jilala jina lako halipo.
 
Katika majina yote hakuna majina ya kienyeji kama yako
 
Wadau tume ya mahakama imetoa majina mengi kwa walioomba nafasi mbalimbali. Someni mwananchi ya Leo kuona NA kujiaandaa kwa walioitwa.

uhakimu wameita wangapi?
 
angalia mtunza kumbukumbu jina christina Emmanuel
 
Back
Top Bottom