Call for interview: Hakimu mkazi II

Kazi za mahakimu...rais kasema mwaka huu wataajiri 300 tu...graduates wapo zaidi ya 4000
 
Sorry lakini naomba kujua, ukisoma sheria za Tanzania unaweza ajiriwa nchi kama Bhutan ama Bruney kwa nafasi hiyo hiyo ya uhakim?
 
Back
Top Bottom