Call for interview Erolink

hivi yule Dada customer care mwenye nyodo pale erolink masaki bado yupo
 
Hii kampuni nilisikia imefungwa kipindi fulan kwani imerudi tena!? Mana ofisin tulikua na watu wao na sasa wako chini ya kampun ingine si erolink tena..
 
Hii kampuni nilisikia imefungwa kipindi fulan kwani imerudi tena!? Mana ofisin tulikua na watu wao na sasa wako chini ya kampun ingine si erolink tena..

ndio recruitment agent zote zifungiwa n serkali kutokana n unyonyaji wanaoufanya ila kama unavyojua udhaifu w serkal yetu kushindwa kusimamie naamuz yake jamaa bado wanapeta pia inasemekana erolink inamilikiwa na vigogo w serkali
 
Kweli hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…