Here mundu nipe habari nimefurah kukuta hii habari yako humu Mimi nimepeleka CV Leo kunamtu aliniconect please Niambie ilichukua muda gan kukuita baada ya kupeleka CV na maswali yao yapoje please mi hata wakinikata hyo hela sawa tu si sawa na kukaa home
Kweli ajira ngumu. Ila km mtu anaweza kukubaliana na masharti ya erolink unafanya 2. Lkn ki ukweli ninkm unawafanyia wao mana mshahara unapitia kwao then ndo kwako.
Kweli ajira ngumu. Ila km mtu anaweza kukubaliana na masharti ya erolink unafanya 2. Lkn ki ukweli ninkm unawafanyia wao mana mshahara unapitia kwao then ndo kwako.
mnaanza kufanya written ukifaulu unafanya computer siku hiyohiyo ukifaulu utaitwa kufanya written kesho yake unafanya oral majibu yanatoka sikuhiyohiyo na unaanza training sikuhiyohiyo itakuchukua siku 2 tu.