Hao jamaa huwa wanaita tu kufanya interview na mara nyingi si kwamba kazi zinakuwepo moja kwa moja, unaenda na kufanya writen interview, ukishinda unaweza kaa hata miezi 3 au zaidi tena ukaitwa na kufanywa oral ukishinda unaweza kaa hata miezi 6 tena au zaidi ndo ukajaitwa kwa kazi, huwa wanawaweka reserve hadi voda wawe na uhitaji wa watu. Nenda kafanye kila lakheri.
NB: Pia unaweza ukafanya na moja kwa moja ukaingia kazini.