KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,722 12,082 Jun 22, 2011 #1 Wakuu naomba mniwezekshe kupata call back kwenye cmu yangu ya wimbo wa Hello -Husein machozi ft Maundo Zorro. Ni wapi wanatua huduma hii? nimejaribu ku-google kachumbali flavour naona hawako online.
Wakuu naomba mniwezekshe kupata call back kwenye cmu yangu ya wimbo wa Hello -Husein machozi ft Maundo Zorro. Ni wapi wanatua huduma hii? nimejaribu ku-google kachumbali flavour naona hawako online.
SHAROBALO JF-Expert Member Mar 17, 2011 771 349 Jun 22, 2011 #2 Pole mkuu. sijajua watumia mtandao gani..ila nadhani ukipga customer care mostly 100 watatoa maelekezo ya kupata hio kitu.
Pole mkuu. sijajua watumia mtandao gani..ila nadhani ukipga customer care mostly 100 watatoa maelekezo ya kupata hio kitu.
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,722 12,082 Jun 22, 2011 Thread starter #3 SHAROBALO said: Pole mkuu. sijajua watumia mtandao gani..ila nadhani ukipga customer care mostly 100 watatoa maelekezo ya kupata hio kitu. Click to expand... Mi naomba kama kuna mtu anajua code za nyimbo, ikiwamo hiyo wakuu.
SHAROBALO said: Pole mkuu. sijajua watumia mtandao gani..ila nadhani ukipga customer care mostly 100 watatoa maelekezo ya kupata hio kitu. Click to expand... Mi naomba kama kuna mtu anajua code za nyimbo, ikiwamo hiyo wakuu.
Osaba JF-Expert Member Apr 10, 2011 1,937 772 Jun 25, 2011 #4 KakaJambazi said: Mi naomba kama kuna mtu anajua code za nyimbo, ikiwamo hiyo wakuu. Click to expand... Piga c/care kama mdau sharobalo alivyokuelekeza
KakaJambazi said: Mi naomba kama kuna mtu anajua code za nyimbo, ikiwamo hiyo wakuu. Click to expand... Piga c/care kama mdau sharobalo alivyokuelekeza
Buggy JF-Expert Member Oct 30, 2010 236 60 Jun 26, 2011 #5 kama uko airtel dial 15578 ili upate cool ring back tones.