Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
- Thread starter
-
- #21
Kazi nzuri, hongera mkuu Kimox Kimokole! Ukiweza kuprint na kusambaza mpaka vijijini itakuwa poa sana.
Mkuu Kimox Kimokole Kumbe weweni M4C ? nilikuwa sijuwi hivyo!!!!!!!!!!!!
Pilot wangu hujambo lakini? kheri ya Mwaka mpya afrodenzi wangu............ i miss youdahhhh... please weka kwenye JF store na si tu nunue . kazi nzuri sana.
POle sana kwa baridi Doctor . ila nikujuavyo na maujuzi yako ya kitaalum unanjia mbadala ya kukutoa baridi to be honest I prefer Winter than summer ae. kama vipi chukua winter sports skiing, snowboarding , utakuwa warm sana. hahahahahah au washa hilo jakuzi lako 24/7 kila ukihisi baridi tumbukia tu.. Anyway mitaa hii sawa tu ila nyuma ya jirani "Australia" dahhh summer imwakataa kabisa yaani Bush fire si mchezi . Jana tu temperature zilienda mpaka 43 degrees . Mashamba ya miti, mifugo, nyumba za watu zinateteketea si mchezo. Mpaka dakika hii tunaongea bado hawajaweza kutuliza moto leo siku ya tatu bado wanajaribu kuzima moto. tuwaombee tu.Mwaka Mpya huku kwangu upo poa baridi kali Barafu zimemwagika kila sehemu tabu tupu nipo ninakumbatia Heater la kutia joto mwilini.@afrodenz sijuwi kwako kuna joto kali sana ninaona huko? Far East
Hahahah asante kwa ushauri wako dawa ya kunitoa Baridi mwilini Asali safi tu nikinywa kila siku asubuhi na jioni basi inakuwa poa kabisa mwili unachangamka au huwa ninakunywa maji ya Uvuguvgu ni dawa kubwa ya kutoa baridi mwilini na ikifika wakati wa kulala Mablanketi mawili yananitosha kabisa huku nikiwa na Heater langu la aina hii hapa chini poa tu kabisa.......... afrodenzi Pole sana Wamuombe Mwenyeezi Mungu waislam na Wakristo Moto utazimika Moto ni shetani na Shetani anazimika kwa kumuomba Mwenyeezi Mungu.POle sana kwa baridi Doctor . ila nikujuavyo na maujuzi yako ya kitaalum unanjia mbadala ya kukutoa baridi to be honest I prefer Winter than summer ae. kama vipi chukua winter sports skiing, snowboarding , utakuwa warm sana. hahahahahah au washa hilo jakuzi lako 24/7 kila ukihisi baridi tumbukia tu.. Anyway mitaa hii sawa tu ila nyuma ya jirani "Australia" dahhh summer imwakataa kabisa yaani Bush fire si mchezi . Jana tu temperature zilienda mpaka 43 degrees . Mashamba ya miti, mifugo, nyumba za watu zinateteketea si mchezo. Mpaka dakika hii tunaongea bado hawajaweza kutuliza moto leo siku ya tatu bado wanajaribu kuzima moto. tuwaombee tu.
Duh! Hapa ni kunitafuta ubaya sasa dah!!!
Golden Post!hapana mkuu hakuna ubaya!...ukitengeneza hizo za CCM weka picha mathalani wanafunzi wakiwa katika darasa la tope, hawana madawati darasani na wanaandika wakiwa wamekaa chini kwenye mavumbi! halafu wanafunzi hao wakiwa wamevaa sare zilizochanika chanika. kisha weka maandishi 'Miaka 51 ya Uhuru...Tumethubutu, Tumewezwa na Tunazidi kusongwa mbele'.
Nani anakuwa na haki miliki ya hizo kalenda?Mkuu Kimox Kimokole bonge la kazi mkuu. Hongera sana kwa ubunifu! Ukifanikiwa ku-print tafadhari tuwasiliane.
u want to know or?
kUMBE Mwaka wa CDM Unaanzia MACHI? AU NDIO KATIBA MPYA???????????????
hapana mkuu hakuna ubaya!...ukitengeneza hizo za CCM weka picha mathalani wanafunzi wakiwa katika darasa la tope, hawana madawati darasani na wanaandika wakiwa wamekaa chini kwenye mavumbi! halafu wanafunzi hao wakiwa wamevaa sare zilizochanika chanika. kisha weka maandishi 'Miaka 51 ya Uhuru...Tumethubutu, Tumewezwa na Tunazidi kusongwa mbele'.