Calculator ya TRA ya tozo za kuingiza magari itarekebishwa lini?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,750
2,391
Mi nilizani baada ya kuingia Magufuli kalukuleta inayotumiwa na tra kukadilia bei za magari na ushuru wake kwenye kuingiza magari ingefanyiwa marekebisho na kuweka bei halisi za Magari na makadilio ya kodi zinazolipikA

LAKINI NASHANGAA IKO VILEVILE USHURU WA MAGARI MENGI UMEKUWA MKUBWA mara mbili ya bei ya gari na garama za nauli hadi Dar es saalam,,
Mi niliamini awali tra warikadilia kodo kupwa ili waagiza magari washawishike kuwaonga wao na wakwepe kulipa tozo zote

sasa ni wakati wa kazi tu TrA watoze kodi zinalipika
 
Last edited by a moderator:
We unashangaa hilo? Wakati Ndani Ya Nchi Moja Unalipia Ushuru Wa Gari Mara Mbili

Unaingiza gari zanzibar toka Uk au Japan then Zanzibar unalipia ushuru Mfano M3 kwa gari kama Rav4 kilitime kisha ukiileta dar napo unalipia ushuru m4.5

Plate number za zanzibar zinaishia bandari ya zanzibar na bado tunaambiwa hii ni nchi moja,what i know hizi ni Nchi mbili ndani ya mwanvuli wa nchi Moja

Ukiwa zanzibar ndo utajua huku na Tanganyika maana wao hawataji Tanzania bara wala Tanzania Visiwani bali wakuuliza kule Tanganyika ushuru ukoje kama walalamika huku zanzibar?
 
Hilo haliwezi kubadilishwa kwa maana lengo kuu hapo ni kuzuia au kuthibiti magari chakavu kuingizwa nchini yaani magari ya zamani ambayo kwa kiasi kikubwa yanachangiwa uharibifu wa Mazingira (na huu ni mkakati wa Dunia nzima sema mbinu tu ndiyo tofauti!), sasa kila nchi ina utaratibu wake wa kufanya hivi lkn lengo ni lile lile tu kwa mfano Kenya hauruhusiwi kuingiza gari ambayo ina zaidi ya miaka 10 tangu kutengenezwa kwake na ukiingiza wanaitaifisha na kuivunjavunja mara moja, sasa hapa kwetu hatuzuii kuingiza gari mzee lkn ukiingiza basi utaadhibiwa kwa kulipia gharama kubwa lengo ni kwamba uagize gari ambayo siyo mzee na ndiyo maana ukinunua gari mpya unalipia kidogo kulinganisha na gari la zamani!

Hivyo basi hilo haliwezi kubadilishwa sana sana kama mkilia sana na kutaka kodi ipunguzwe basi watakuja na lingine la kupunguza au kuzuia uagizaji wa magari ya zamani labda watafanya kama Kenya kwamba marufuku kuagiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka minane!
 
Last edited:

Kwa sababu kuna mambo wanajitegemea na wanakodi ambazo kwetu Bara hazipo na kwetu tuna kodi ambazo kwao pia hazipo, hivyo kama ukiagiza kitu kuja Zanzibar na ukalipia kodi ya Zanzibar kwa matumizi ya Zanzibar basi kama ukitaka kuhamishia Bara ni lazima ulipie kodi tena kwa maana mifumo ya kodi ni tofauti, hili tumefundishwa shule ya msingi kwamba Muungano wetu kuna mambo ambayo tunafanya pamoja na mengine kila mtu anajitegemea!
 
Barbarsa, sheria iliyounda TRA ni moja, kinachofanyika ni mazoea tu, na maagent wengi hawajui sheria za kodi.

Kwa maoni yangu ni kufungua kesi ili ku challenge hii kitu. Na hukumu ndio itakuwa msingi wa kodi kwa vitu au bidhaa kutoka znz kwa kuzingatia sheria iliyounda TRA ( Tanzania Revenue Authority)
 
Kwakweli kodi kubwa Za forodha ndio Zina Fanya wabongo wengi tuendelee kuona kuwa na Gari ni anasa .
 
Hilo haliwezi kubadilishwa kwa maana lengo kuu hapo ni kuzuia au kuthibiti magari chakavu kuingizwa nchini yaani magari ya zamani ambayo kwa kiasi kikubwa yanachangiwa uharibifu wa Mazingira (na huu ni mkakati wa Dunia nzima sema mbinu tu ndiyo tofauti!), sasa kila nchi ina utaratibu wake wa kufanya hivi lkn lengo ni lile lile tu kwa mfano Kenya hauruhusiwi kuingiza gari ambayo ina zaidi ya miaka 10 tangu kutengenezwa kwake na ukiingiza wanaitaifisha na kuivunjavunja mara moja, sasa hapa kwetu hatuzuii kuingiza gari mzee lkn ukiingiza basi utaadhibiwa kwa kulipia gharama kubwa lengo ni kwamba uagize gari ambayo siyo mzee na ndiyo maana ukinunua gari mpya unalipia kidogo kulinganisha na gari la zamani!

Hivyo basi hilo haliwezi kubadilishwa sana sana kama mkilia sana na kutaka kodi ipunguzwe basi watakuja na lingine la kupunguza au kuzuia uagizaji wa magari ya zamani labda watafanya kama Kenya kwamba marufuku kuagiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka minane!
Mkuu huelewi ulicho kiandika, hebu jaribu mfano huu, ingia kwenye calculator ya TRA kisha ingiza taarifa za gari moja kwa ku kubadilisha mwaka wa kutengenezwa, utagundua kuwa kadiri gari inavyo kuwa mpya jumla ya kodi ina ongezeka!
 
Kiongozi kalkuleta ya TRA haipo hivyo ulivyosema, ushuru wa gari la nyuma ni mdogo kuliko wa gari la karibuni, mfano Ushuru wa iSt ya mwaka 2005 ni mdogo kuliko ule wa iSt ya 2008 na hiyo ni kwa magari karibu yote
 
SIYO KWELI, haujaelewa tu!
 
Mkuu huelewi ulicho kiandika, hebu jaribu mfano huu, ingia kwenye calculator ya TRA kisha ingiza taarifa za gari moja kwa ku kubadilisha mwaka wa kutengenezwa, utagundua kuwa kadiri gari inavyo kuwa mpya jumla ya kodi ina ongezeka!

Haujaelewa tu, kama nilivyosema lengo ni kupunguza uchafuzi wa mazingira hivyo kuna mambo mengi yanaangaliwa na kubwa ni umri wa gari, kuna ujazo wa injini na ndiyo maana kwenye kikokotoa chao kuna mahali unaingiza ukubwa wa injini, hivyo gari yako kama ina injini ya labda 3.0 lita utalipia fedha nyingi klk mwenye gari yenye 1.5 lita kwa maana gari yenye lita 3.0 inachafua mazingira zaidi klk gari yenye 1.5 lita kwa kuwa unahitaji mafuta mengi zaidi, hivyo kuna mambo mengi yanaangaliwa lkn lengo kubwa linabaki kuwa kupunguza Uchafuzi wa Mazingira!
 
Ulchokisema ndio sio kweli..nenda ukahakikshe mwenywe kwnye calculator ya TRA..

Jaribu tena kutumia hicho kikokotoa utaona kuna mambo mengi yamewekwa kama umri wa gari, ujazo wa injini, aina ya mafuta unayotumia na hii yote ndiyo inaamua kiasi cha fedha unachotakiwa kulipa, hivyo gari yenye injini kubwa utalipia fedha nyingi klk gari yenye injini ndogo sasa ikitokea pia ikawa na umri mkubwa ndiyo kabisa na haya yote ni kwa ajili ya kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa maana gari kubwa (injini) huchafua mazingira zaidi klk ndogo na sasa ikotokea ikawa ya miaka zaidi ya 10 ndiyo kabisa!
 
SIYO KWELI, haujaelewa tu!
Kubali yaishe walichokuwambia wenzio ni sahihi, gari kadri inavyozidi kuwa y amiaka ya karibuni ndio kodi zinavyoongezeka. tofauti iko kwa zile zenye uchakavu tu, zaidi ya miaka kumi, lakini hata hizo zinakuwa balanced out kwenye depreciation.

Shida iko kwenye upuuzi wa TRA kuwa na market price za magari, wakati magari mawili yaliyotengenezwa siku moja yanaweza kuwa katika hali tofauti kabisa kutokana na utunzaji n.k

pia sheria za TRA haziko ku-promote mazingira,kwani wangefanya hivyo watu wanaonunua magari friendly kwa mazingira kama pirus etc wangepewa special relief, pia wangeondoa au kupunguza kodi kwa wanaonunua magari mapya. Nchi nyingi duniani zenye viongozi wenye vichwa vinavyofanya kazi kuna tax refunds/credits kwa wananchi wao wenye kununua vitu friendly kwa mazingira. kuna nchi ulaya nadhani ufaransa, wameleta sheria mpya kwa wote wanaoendesha baiskeli kwenda kazini watapewa hadi euro 200 kwa mwezi kama tax credit.

wapuuzi wa TRA ndio kwanza wanaongeza kodi n.k, shida ni kuwa kutokana na uelewa mdogo na exposure kiduchu imani kuu TRA ni kwamba kupunguza kodi ni kupunguza mapato. creativity sifuri, ndio maana jitu linaenda kujenga nyumba 70(if true) sehemu moja, huwezi kutegemea kipya kwa mtu mwenye akili fupi namna hiyo.
 
Jaribu tena kutumia hicho kikokotoa utaona kuna mambo mengi yamewekwa kama umri wa gari, ujazo wa injini, aina ya mafuta unayotumia na hii yote ndiyo inaamua kiasi cha fedha unachotakiwa kulipa, hivyo gari yenye injini kubwa utalipia fedha nyingi klk gari yenye injini ndogo sasa ikitokea pia ikawa na umri mkubwa ndiyo kabisa na haya yote ni kwa ajili ya kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa maana gari kubwa (injini) huchafua mazingira zaidi klk ndogo na sasa ikotokea ikawa ya miaka zaidi ya 10 ndiyo kabisa!

Naleta huu mfano ili watu waone. Nimeingiza gari IPSUM ya 2001 na ya 2014. Kinachopungua ni Excise Duty due to Age ambapo la 2001 limelipa wakati la 2014 hakuna hiyo duty.

Reference Number -1516241239
Make: TOYOTA
Model: IPSUM
Body Type: WAGON
Year of Manufacture:2001
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2001 - 2500 CC
Customs Value CIF (USD): 2381.40
Import Duty (USD): 595.35
Excise Duty (USD): 297.68
Excise Duty due to Age (USD): 893.03
VAT (USD): 750.14
Custom Processing Fee (USD): 14.29
Railway Dev Levy (USD): 35.72
Total Import Taxes (USD): 2586
Total Import Taxes (TSHS): 5,588,346/=
Vehicle Registration Tax (TSHS):
380,000.00
TOTAL TAXES (TSHS) 5,968,346/=

Reference Number- 1516241252
Make: TOYOTA
Model: IPSUM
Body Type: WAGON
Year of Manufacture: 2014
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2001 - 2500 CC
Customs Value CIF (USD): 16710.65
Import Duty (USD): 4177.66
Excise Duty (USD): 2088.83
Excise Duty due to Age (USD): 0.00
VAT (USD): 4135.89
Custom Processing Fee (USD): 100.26
Railway Dev Levy (USD): 250.66
Total Import Taxes (USD):10753
Total Import Taxes (TSHS): 23,237,233/=
Vehicle Registration Tax (TSHS):
380000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 23,617,233/=
 
Haujaelewa tu, kama nilivyosema lengo ni kupunguza uchafuzi wa mazingira hivyo kuna mambo mengi yanaangaliwa na kubwa ni umri wa gari, kuna ujazo wa injini na ndiyo maana kwenye kikokotoa chao kuna mahali unaingiza ukubwa wa injini, hivyo gari yako kama ina injini ya labda 3.0 lita utalipia fedha nyingi klk mwenye gari yenye 1.5 lita kwa maana gari yenye lita 3.0 inachafua mazingira zaidi klk gari yenye 1.5 lita kwa kuwa unahitaji mafuta mengi zaidi, hivyo kuna mambo mengi yanaangaliwa lkn lengo kubwa linabaki kuwa kupunguza Uchafuzi wa Mazingira!

Sio kweli, ukubwa wa engine sio sababu kuu ya kuchafua mazingira, kuna magari ya 1.5L ya miaka ya 90 yana emisision satandards mbovu kuliko latest 3.0 L Mercedes or BMW's. usilinganishe chungwa na embe. linganisha vitu vinavyofanana.

Wenzetu wana Emission ratings kwa kila gari,na hulinganisha enviromental friendliness kwa kutazama kiasi cha CO2 emission, sio kutazama size ya engine tu.

Narudia tena TRA hawana hata chembe ya kusaidia kudhibiti uchafuzi wa mazingira, wamesoma psychology ya watanzania na kuamua kuwakomoa. period.
 
Hilo haliwezi kubadilishwa kwa maana lengo kuu hapo ni kuzuia au kuthibiti magari chakavu kuingizwa nchini yaani magari ya zamani ambayo kwa kiasi kikubwa yanachangiwa uharibifu wa Mazingira (na huu ni mkakati wa Dunia nzima sema mbinu tu ndiyo tofauti!), sasa kila nchi ina utaratibu wake wa kufanya hivi lkn lengo ni lile lile tu kwa mfano Kenya hauruhusiwi kuingiza gari ambayo ina zaidi ya miaka 10 tangu kutengenezwa kwake na ukiingiza wanaitaifisha na kuivunjavunja mara moja, sasa hapa kwetu hatuzuii kuingiza gari mzee lkn ukiingiza basi utaadhibiwa kwa kulipia gharama kubwa lengo ni kwamba uagize gari ambayo siyo mzee na ndiyo maana ukinunua gari mpya unalipia kidogo kulinganisha na gari la zamani!

Hivyo basi hilo haliwezi kubadilishwa sana sana kama mkilia sana na kutaka kodi ipunguzwe basi watakuja na lingine la kupunguza au kuzuia uagizaji wa magari ya zamani labda watafanya kama Kenya kwamba marufuku kuagiza gari yenye umri wa zaidi ya miaka minane!

Atii?
ukinunua gari mpya (ambayo mda wake upo ndani ya mda unaokubalika ambao ni miaka 8 kwa hapa kwetu) unalipa ushuru kidogo?
Au sijakuelewa??
Mkuu nadhani kuna vitu unachanganya ila ninachojua kanuni ni ileile tu sema kama ukiagiza gari ya zaidi ya miaka 8 basi inaongezeka tozo ya uchakavu...
Hii huwa haipo kwenye gari za mda wa ndani ya miaka 8.
Huu utaratibu wa kutoza ushuru kwa thamani ya kununulia gari bado inaumiza sana either ni gari mpya au ya zamani
 
Sio kweli, ukubwa wa engine sio sababu kuu ya kuchafua mazingira, kuna magari ya 1.5L ya miaka ya 90 yana emisision satandards mbovu kuliko latest 3.0 L Mercedes or BMW's. usilinganishe chungwa na embe. linganisha vitu vinavyofanana.

Wenzetu wana Emission ratings kwa kila gari,na hulinganisha enviromental friendliness kwa kutazama kiasi cha CO2 emission, sio kutazama size ya engine tu.

Narudia tena TRA hawana hata chembe ya kusaidia kudhibiti uchafuzi wa mazingira, wamesoma psychology ya watanzania na kuamua kuwakomoa. period.

Tatizo ni kwamba unaandika tu kwa kuhamaki bila kujaribu kuelewa kinachoendelea ni wapi nimesema ukubwa wa injini ndiyo sababu KUU ya kuchafua mazingira?!
Nimesema kuna mambo mengi yanaangaliwa kama vile ukubwa injini, umri wa gari, aina ya mafuta gari inayotumia halafu kikokotoa kinachanganya yote hayo na kutoa jibu gari lipi linachafua mazingira klk lingine!

Kama nilivyosema lengo linabakia kuwa kupunguza uchafuzi wa Mazingira na kwenye hili kila nchi ina utaratibu wake ndiyo maana unaona Volkswagen inapigwa faini Marekani kwa ajili ya NOx na siyo CO2 lkn kwa Ulaya VW ilikuwa inakubalika kulingana na viwango vyao, vivyo hivyo kwetu sisi pia tuna vipimo vyetu, sasa kama haukubaliani navyo hilo ni swala lingine lkn huwo ndiyo utaratibu tuliojiwekea kulingana na mazingira yetu!
 
Atii?
ukinunua gari mpya (ambayo mda wake upo ndani ya mda unaokubalika ambao ni miaka 8 kwa hapa kwetu) unalipa ushuru kidogo?
Au sijakuelewa??
Mkuu nadhani kuna vitu unachanganya ila ninachojua kanuni ni ileile tu sema kama ukiagiza gari ya zaidi ya miaka 8 basi inaongezeka tozo ya uchakavu...
Hii huwa haipo kwenye gari za mda wa ndani ya miaka 8.
Huu utaratibu wa kutoza ushuru kwa thamani ya kununulia gari bado inaumiza sana either ni gari mpya au ya zamani

Rudia kuangalia vizuri kikokotoa utaona kwamba kuna mambo mengi unatakiwa kuingiza ili kitoe jibu, kama ukubwa wa injini, aina ya mafuta unayotumia, umri wa gari n.k na haya yote yanachangia kwenye kikokotoa kuamua ni gari lipi linachafua mazingira klk lingine, yaani kuna sababu kwa nini kikokotoa kinauliza hayo maswali yote vinginevyo kingeuliza swali moja tu, lkn mwisho wa siku lengo linabakia kuwa kupunguza Uchafuzi wa Mazingira hivyo hilo haliwezi kubadilishwa!
 
SIYO KWELI, haujaelewa tu!
Jaribu tena kutumia hicho kikokotoa utaona kuna mambo mengi yamewekwa kama umri wa gari, ujazo wa injini, aina ya mafuta unayotumia na hii yote ndiyo inaamua kiasi cha fedha unachotakiwa kulipa, hivyo gari yenye injini kubwa utalipia fedha nyingi klk gari yenye injini ndogo sasa ikitokea pia ikawa na umri mkubwa ndiyo kabisa na haya yote ni kwa ajili ya kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa maana gari kubwa (injini) huchafua mazingira zaidi klk ndogo na sasa ikotokea ikawa ya miaka zaidi ya 10 ndiyo kabisa!
Jamaa naona umeamua kuwa mbishi tu, mleta mada hakulalamika kuhusu serikali kukataza watu kuagiza magari ya miaka ya nyuma, yeye amelalamika kuhusu mfumo mzima wa kalkuleta ya TRA kwamba ushuru ni mkubwa sana, wewe ukaleta mada mpya ya kuhusu uchakavu wa magari lakini pia umeshindwa kuitetea hiyo hoja yako labda kwa kutoelewa vizuri au kwa ubishi tu wa makusudi.
Passo ya mwaka 2005 yenye injini ya ujazo wa cc 990 ushuru wake ni TZS 3,464,255/-, Passo yenye sifa hizohizo iliyotengenezwa mwaka 2008 ushuru wake ni TZS 3,851,074- na ile ya mwaka 2010 yenye sifa hizohizo ushuru wake ni TZS 4,008,827/- sasa hapo utasema gari lipi lilitakiwa kutozwa kodi kubwa ukizingatia hiyo pointi yako ya kuchafua mazingira? Aina ya gari mpaka ukubwa wa injini ni sawa lakini ushuru unazidi kwenye gari jipya, acha kutetea vitu vilivyo na makosa waziwazi kabisa mzee.
 
Hapa ndio huwa naona tuna mfumo wa kodi uliokandamizi mno;
Viwango vyetu vya kodi si rafiki kabisa.
Kama kweli leongo ilikuwa ni kusukuma watu wanunue magari mapya basi ilitakiwa ushuru uwe chini sana kwenye gari mpya
 
Back
Top Bottom