Calculation ya kodi iangaliwe upya

NInajionea majanga tu wanauma na kupuliza zile taaluma zao wameziweka pembeni umebaki unafiki tu na kupenda pesa kuliko utu.
Yes , yaan pale hakuna utu narudia na sifichi jina JKIA hawana calculations nzuri
 
Kwa kodi hiyo bado unataka tu vivumbuliwe vyanzo vingine vya mapato?Mbona naona vinajitosheleza?Kama wewe mmoja umeweza kulipa kodi yote hiyo mkipatikana 50,nadhani mnaweza kutuendeshea wizara!!!!!!!!!
 
Tatizo baadhi ya watanzania wanaidharau siasa,siasa ni sawa na nguo uwezi kuikwepa lazima uivae,siasa inakuweka huru na usiseme kumwachia mwanasiasa siasa yake,matokeo ya maisha ni siasa,kwa iyo mkono wa kulia weka maisha yako ya kawaida upande mwingine weka siasa,tusiwe wavivu kuifatiria siasa na kuichambua,hayo ndo maisha,na tusikwepe kupiga kura,
 
Nyie si ndiyo mlikuwa mnasema, watu wanaolilia ni wapiga dili? Unaonekana na ww ni mpiga dili

kodi muiweke wenyew halafu bado mwana CCM analalamika huu si ujinga kbsa. Ww waoneshe kadi ya ccm tu utapitisha mizigo yako bure kbsa.

KUMBE NA WANACCM WANAISOMA NAMBA. MM NILIFIKIRI WAPINZANI TU
 
Mi sifichi siwez kupigia kura mtu asiye na nia njema katika uongizi wake, nakomea hapa
Pole sana. Hakuna jipya chini ya uongozi wa ssm.
Mwaka 1 tunaanza kulalamika hiv. Bado miaka 4 namba lazima zisomeke mpaka za kichina
 
Kwenye database yao wana bei ya karibu kila kitu,hivyo hata kwenye invoice ukiweka bei ndogo wakirefeer kwenye database yao kodi wanaipandisha
 
Kwenye database yao wana bei ya karibu kila kitu,hivyo hata kwenye invoice ukiweka bei ndogo wakirefeer kwenye database yao kodi wanaipandisha
Wala hatujaweka ndogo, ishu ni kwanini inakuwa kodi kubwa
 
Wala hatujaweka ndogo, ishu ni kwanini inakuwa kodi kubwa
Kwa uelewa wangu kodi ya vitu kuna fomular yake ya kukokotolea kodi husika,sio kwamba hua wanaamua tu,ukipita clearing agent mzuri hizi formula wanazijua
 
Pole sana.Wewe si mfanyabiashara wa Leo ndo umeanza kiasi uagize mzigo wa thamani hiyo.

Sasa tuambie zamani ulikuwa unalipaje hiyo Kodi? Maana hakuna mabadiliko ya calculation ya Kodi ni ile ile toka zamani.
 
***
KUKADIRIA KODI NI UHUNI NAMBA MOJA. KWANI KAZI ZA MABALOZI HUKO UGHAIBUNI NI NINI?,HILI LA VERIFICATION ILIPASWA LIONGEZWE KATIKA MAJUKUMU YAO./
 
Kwenye database yao wana bei ya karibu kila kitu,hivyo hata kwenye invoice ukiweka bei ndogo wakirefeer kwenye database yao kodi wanaipandisha
***
hiyo Database inawalakini au haipo sawa.../ unataka kuniambia ina bei ya bidhaa mpya,secondhand, kila pahala ? / maana bidhaa secondhand huwa zina differ zipo zilizotumika kidogo,kutumika mno.../ ambapo huwa na bei zinazopishana / hapa wanafanyaje?
 
Kila kitu kipo huko,kiwe kipya au used kodi yake ipo
 
Pole sana mkuu.Ila majamaa ya ccm si unajua uchumi na wao ni kitu tofauti.Si unajua ni wale wanafunzi walikuwa wakisema uchumi ni nouma kuliko sayansi.Ndio sasa ipo pale juu. Hii ukiikuta siku imeshiba itakuambia km huwezi acha.Na kesho yake wana mswada wa kupiga marufuku watu wenye mitaji ya kunywa bia.Matokeo yake wazawa mnabadili biashara km sio kufunga,wahidi wanaonekana kuwa na mtaji mkubwa ndio wanaachiwa soko.Mwaka unaofuatia unakuta hii mijamaa haijui kwanini kodi imeshuka.Inaanza maelezo yao ya kuvuta.Unajua dola imepanda nor imeshuka, dhidi ya shilling. Kw aujumla mijamaa haipendi kodi endelelevu.Wanataka leo tuu hata kesho isipokuwepo poa tuu kesho itajijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…