Calculation ya kodi iangaliwe upya

Kweli lakin kaka wanapokosea wakosolewe lakin hata wangekuwa UKAWA pia kuna jambo wangefanya likamuumiza Mwana UKAWA haimaanishi kuwa wangefanya kwa hundred percent
Mkuu hao wadudu wako wa kijani wameshindwa kwa miaka 50+ huwezi kuwalinganisha na ukawa. Bora hao ukawa wafanye ivyo tugesema kuna jambo jipya litatokea tuvumilie kwa muda kuwapima.

Lakini hawa wadudu wako wa kijani wameshindwa na wamekwama some where between wamebakia na ngonjera za kudanya toto.
 
Kelvin ipi nia yako iliyokusababishia kutaja UANACHAMA WAKO?/ ili iwaje?,au kipi kitokee?,au ndio itaipa uzito hoja yako?/
Unajua usipotaja upande wako watu wanadhan unaiponda serikali we UKAWA, au ukisema ukweli fulan juu ya UKAWA watu wanasema we CCM. Tanzania imefika hatua ya watu kuogopa ukweli unaohusu upande wao sijui ni upofu au nn
 
Sawa lakin si kwa calculations hiyo

I got you... inauma, but tunaisoma namba wote..!!

Mwanaume akilia, machozi hayatoki bali macho huwa Mekunduuuuu na mishipa ya kichwa kusimama, akilia zaidi pia makamasi kidogo hutoka.. vumilia.. ha haaaaa
 
tatizo wapiga kura wengi maskini, kipindi cha kampeni kikifika wakipewa kanga na elfu 10 wanasahau majanga yote ya nyuma
 
I got you... inauma, but tunaisoma namba wote..!!

Mwanaume akilia, machozi hayatoki bali macho huwa Mekunduuuuu na mishipa ya kichwa kusimama, akilia zaidi pia makamasi kidogo hutoka.. vumilia.. ha haaaaa
Kweli mkuu hiyo ni kweli
 
of+course nafahamu ya kwamba endapo ndg Kelvin angepunguziwa ushuru ingemrahishia kufanya biashara yake mara 10 zaidi huku / nikimaanisha bidhaa zake angeziuza kwa unafuu na pia angelipata wateja mara 10 zaidi.
 
Na utulie sindano zikuingie lazima muishi kama mashetani
Sijawahi kuishi kama malaika hivyo sina hakika kama nadhaniwa kuwekwa kundi ka shetan
 
Haahaaaa na mbado msubirie parking mjini kwa saa inakuja 500 kwa saa hakuna cha jumapili wala chikukuu wenye magari ya mukopo mupooo
 
of+course nafahamu ya kwamba endapo ndg Kelvin angepunguziwa ushuru ingemrahishia kufanya biashara yake mara 10 zaidi huku / nikimaanisha bidhaa zake angeziuza kwa unafuu na pia angelipata wateja mara 10 zaidi.
Licha ya ya hiyo ukiweka invoice wanaikataa wana angalia na kukadiria bei ya bidhaa wanatia calculations zao. Siyo haki kabisa yaan siyo haki , mzigo unaununua TSH 45,000,000 Usafiri 8,000,000 then hapa wakutoze million 21 kodi wakati calculation zako mzigo uuze 62,000,000 hii si fair
 
Kodi nayo hujaanza kufanya biashara wanakuambia ulipe kodi ya robo mwaka kwa makadirio waliyonayo kwa mtaji ulosema this is not fair tuna mengi ya kurekebisha sana sana
 
Inakatisha tamaa
Kuna kautafiti kalifanywa tukaambiwa tunatumia 1% kufikiri, sasa sijui tufanyiwe maombi au ni kujiendekeza tu manake hata ukimkuta msomi tena mwenye masters akidadavua kitu kuna saa unajiuliza mara mbilimbili huyu ni msomi kweliii au ndio majangaa.
 
Kodi nayo hujaanza kufanya biashara wanakuambia ulipe kodi ya robo mwaka kwa makadirio waliyonayo kwa mtaji ulosema this is not fair tuna mengi ya kurekebisha sana sana
Mengi sana ya kurekebisha. Na tuendako tutabanwa zaidi. Kama umesikia zoezi la ku renew taarifa zako za TIN, basi itakuwa kama hujalipa kodi hata kwenda nje ya nchi itakua shida
 
Kuna kautafiti kalidanywa tukaambiwa tunatumia 1% kufikiri, sasa sijui tufanyiwe maombi au ni kujiendekeza tu manake hata ukimkuta msomi tena mwenye masters akidadavua kitu kuna saa unajiuliza mara mbilimbili huyu ni msomi kweliii au ndio majangaa.
Elezea kidogo mkuu umecomment katika level za kina shivji na lipumba , wengine hatujaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…