Calculate and Think!

umetoa data za mama
unauliza umri wa baba
tutaupataje umri wa baba wakati hujatoa data zake?

Umri wa Mama ni miaka 21 zaidi ya Mwanae.Baada ya miaka 6 kamili kutoka sasa,umri wa Mama utakuwa mara 5 ya umri wa Mwanae. SWALI:Baba wa mtoto huyu yuko wapi?
 
umetoa data za mama
unauliza umri wa baba
tutaupataje umri wa baba wakati hujatoa data zake?
Samahani,sijauliza umri wa baba,nimeuliza aliko baba yake.
 
Prove mathematically that the infinity set of counting numbers is larger than the infinity set of prime numbers.


Infinity set of counting numbers ={1+2+3+4+5+6+7+8+9+10+11......} --------------------->(i)

Infinity set of prime numbers ={2+3+5+7+11.............................................} --------------------->(ii)

From above,

Compute (i) - (ii)

Argument 1: Since Infinity set of prime numbers is a subset of an infinity set of counting numbers therefore;

An infinity set of the difference = {1+4+6+8+9+10.............................}

Argument 2: Since the resulting infinity set is not negative then, the infinity set of counting numbers is larger than the infinity set of prime numbers base on the mathematical theory that:

If a > b

then a - b >= 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…