CAG Uttoh: mikataba ya madini ni ya kipumbavu, ni mali ya wawekezaji sio mali yetu, hatuna haki nayo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Sijui nae Uttoh sio mzalendo au kahongwa na Acacia. Wenye akili watajua alichokisema Lissu ila walee wa Ndioooooo



IMG-20170613-WA0026.jpg
 
Edit heading ya thread ASAP.. Utouh sio CAG... Alisha staafu. Naona mnatafuta negative news ku negate au kuleta upinzani tu kwa Mh. Rais, na hamtaweza kamwe na milele yote.. Nawaapia
 
Sijui nae Uttoh sio mzalendo au kahongwa na Acacia. Wenye akili watajua alichokisema Lissu ila walee wa Ndioooooo



View attachment 523379
Ndiyo maana tunasema Tundu Lissu ni kaka wa Taifa. Ni mwasheria pekee mpaka sasa aliyeweka wazi na kwa ustadi mkubwa haya ambayo sasa CAG mstaafu anayasema tena kwa lugha ileile ya Lissu. Haya mafisiem semeni sasa naye huyu CAG mstaafu kahongwa!!!! Hebu jiongezeni na acheni ujuha. Mnaudhi sana. Watu hovyoo kabisa.
 
Back
Top Bottom