CAG Utoh: Serikali ya Kikwete ilijaa madalali

CAG Utoh: Serikali ya Kikwete ilijaa madalali

Ma auditors wa zamani hawakuwa na neno "Ushauri"! Wao wakimkuta mtu ana makosa ni mahakamani tu na lazima ufungwe! Huu msamiati wa "Ushauri" ndio unaowafanya wezi kuwa marafiki na wakaguzi siku hizi kwani hawaogopwi kama zamani!

Ulichosema ni sahihi kwa asilimia 100% mkuu.
Mie nimeshuhudia ofisi moja ya serikali CEO na Mhasibu wakitafuna fedha za serikali, ushahidi upo lakini kila Auditors wakija wanapigwa 16mil kila mmoja, wanawasafisha na report safi jamaa wanaendelea kupeta na kuiba zaidi. Huku kushauri ndipo tatizo linapoanzia.
 
wazee kama hawa hua wananishangaza sana; alisubiri nini kujiuzulu anakuja kuleta hizi nyimbo baada ya kustaafu. hamna lolote.
 
Mkuu kumbe zamani wakaguzi wajibu wao ilikua kukagua na kukamata watuhumiwa,sio kuandaa ukaguzi na kutoa maoni kama mahesabu ya hicho alichokikagua kimeandaliwa kulingana na kanuni za kuandaa mahesabu zinazokubalika na wengi?

Basi nadhani kuna haja ya kurekebisha iliyokua Tansania audit standard sasa international audit standards ili majukumu ya mkaguzi iwe ni kukagua, kukamata na kushitaki mtuhumiwa.

Utoh alimkagua jairo kwa ukaguzi maalum baada ya jairo kukusanya pesa toka taasisi za wizara yake ili akawapooze wabunge, utoh akasema jairo hakufanya kosa, hapo tu nilimtoa maksi hadi leo, hata asemeje simuelewi.

Mkuu, aliambiwa aseme vile! Ujaelewaga tuuu(sauti ya kisukuma)?
 
Huyu nae ni punguani, anataka serikali "itafute chanzo" wakati hiyo ni kazi yake yeye?

Hawa ndiyo waliotoka shule za kusomea ujinga.
hahaha kisa tu SI ndugu yako katika imani. Halaf nackia kitukuu chako cha mwisho ana 47 years
 
Huyu mzee anatafuta ukuu wa wilaya si bure
nyinyi ndio madalali utouh anawazungumzia . Hamuonei walalahoi huruma wanavyojituma na kulipa kodi. Mmekaa kwenye viyoyooz huku mmeninginiza poumbuh. Fisadi lenu lililokuwa linawapa dili bila kujali na kuchekacheka hovyohovyo utadhan linatekenywa na mizimu yani Huyu jamaa hadi UDA unamlikisha 9yrs old boy bila aibu LAAANA LAAANA LAAANA LAAANAAAAAAA LAAANAAAAAAA

Kupe nyinyi
 
Huyu nae ni punguani, anataka serikali "itafute chanzo" wakati hiyo ni kazi yake yeye?

Hawa ndiyo waliotoka shule za kusomea ujinga.
hahahaha!! Wa Msoga akiguswa unasisimka mpaka kongosho. na yeye alikuwa dalalali tu, JPM kakuta mafaili kayafanyia kazi. kakako alikuwa mtembezi, na mcheshi pia.
 
Uungwana ukiona hauendani na yale usiyoyaamini unajiuzulu..hapa naamini baada ya Magufuli kuna wengine watakuja kusema Serikali yake Ilijaa matisho na haya na yale nawapa huo uhakika na mtaona..huu unafiki wa kuponda serikali ingine iliyopita tena hawa akina Utoh walikua wakubwa sana serikalin
 
Zoezi la watumishi hewa, limefeli. Labda likirudiwa. Japo ina in built system ya kuwakamata waongo.
 
hahahaha!! Wa Msoga akiguswa unasisimka mpaka kongosho. na yeye alikuwa dalalali tu, JPM kakuta mafaili kayafanyia kazi. kakako alikuwa mtembezi, na mcheshi pia.

Mmesahau boss wake ni nani hadi leo hii?
 
Uungwana ukiona hauendani na yale usiyoyaamini unajiuzulu..hapa naamini baada ya Magufuli kuna wengine watakuja kusema Serikali yake Ilijaa matisho na haya na yale nawapa huo uhakika na mtaona..huu unafiki wa kuponda serikali ingine iliyopita tena hawa akina Utoh walikua wakubwa sana serikalin
huyu mzee ni mnafiki,anajikomba kwa magufuli ili apewe kazi
 
Kwa kweli kipindi cha mzee wa Msoga udalali haukuwa serikalini tu, ni ktk nyanja zote za maisha. Kila mahali kulikuwa na madalali, hata PIMPS ni madalali pia.
 
Back
Top Bottom