CAG tunaomba ukague michango ya walimu wanayokatwa kila mwezi

mamaherry

Member
Mar 27, 2013
11
0
Mh. CAG, walimu wanaomba ukague michango ya walimu wanayokatwa kila mwezi na uhoji mapato na matumizi yake.Unaombwa kufanya hivyo haraka tafadhali.
 
mheshimiwa CAG wa tanzania walimu wanahoji kwanini hukagui mapato na matumizi ya makato ya walimu wanayokatwa kila mwezi.kweli waliumu wanaomba sana makato mengine kama NSSF yanaonekana wazi mambo makubwa wanayowekeza tanzania je cham cha walimu kinapeleka wapi michango wanayokata walimu kila mwezi
 
yaani michango yenyewe ni mikubwa mno haendani na mishahara tunayopata. Tena inaudhunisha sana hao wanaotukata wanatoka vitambi si tukidhoofu.
 
Walimu acheni USHAMBA. Nendeni mahakamani mkapinge kukatwa pesa bila ridhaa yenu. Mkilishughulikia hili swala kisiasa mtakatwa pesa mpaka mnastaafu.
 
Mimi sikujaza 4m zao na sikatwi, katiba inatupa freedom of association si mlijiunga wenyewe sasa mnalalamika nini?
 
Back
Top Bottom