CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

Subiri waje ndio utajua Tanzania tuna vilaza wengi Kama kina JINGALAO na washirika wake. Ila nina imani itafika time watakosa Cha kutetea na watapanda na ID mpya humu. Kwani kina LIZABONI yuko wapi siku hizi? Kaona Mambo si Mambo
Inajulikana kwamba wameshakula yamini ya kutetea chochote hata kama ni cha kijinga!
 
Haya ni matunda ya kujitoa kwenye mpango wa kuendesha serikali kwa uwazi. Tunavuna Magu alichopanda. Tulishapiga hatua mbele sasa tunarudi nyuma kwa kasi ya kutisha
 
Kazi ya kujibu wanaoweka wazi madudu ya serekali yaliotolewa CAG ni Kafulila naona ameanza kupapanbana na ndugu yake Zitto
 
Anyway, hapo juu nimeongeza chumvi, ndimu, pilipili, kachumbari na mbilimbi kwa mbaaaaali manake nimesikia Dar kuna bonge la pupwe!!

CAG hajasema serikali imedanganya deni la taifa bali Serikali Yashusha Deni la Taifa!!

Hivi si ndo kudanganya kwenyewe huko; au?! Hebu msomeni CAG kwenye ripoti yake kisha ndipo nihukumiwe:

Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.

Hapo utaona CAG anataja kiwango cha deni la taifa ambacho ni takribani Shilingi trilioni 4.6 ambacho serikali imekwepa ku-declare.

Mbaya zaidi, kati ya hizo, takribani Shilingi Trilioni 4.4 ni pesa za wavuja jasho... pesa za wafanyakazi! Pesa za wale wale wanaoamka alfajiri na kwenda kugombea madaladala ili wawahi kazini lakini serikali ni kama inasema "pesa zenu tumechukua na kuzitumia tumezitumia; lakini hamtudai!" Kisa?

CAG anaendelea:

Sasa kama huko sio KUDANGANYA kiwango halisi cha Deni la Taifa kumbe tuite nini?!

Yaani, nimekukopesha 1M na umezitumia lakini unaenda kwa demu wako unasema unadaiwa Laki 7 eti kisa tu, baada ya kukupa laki 3, nikasaini lakini chini ya sahihi yangu sikupiga mstari na kwahiyo hilo deni la laki 3 hulitambui... ebo!!

Wakati unazitumia hukuona mapungufu lakini katika kumwambia demu wako kwamba unadaiwa ndo unaona mapungufu!!

That said, kwa kutumia ripoti hiyo hiyo ya CAG kwamba:

Na kujumuisha taarifa kwamba:

Kwa taarifa hizo mbili, utaona kiwango SAHIHI cha Deni la Taifa ni Shilingi bilioni (46, 081.43 + 4, 588.39) = 50,669.82 ambalo ni takribani Shilingi Trilioni 51 na sio Shilingi Trilioni 46.

Aidha, ripoti hiyo hiyo ya CAG inasema GDP yetu ni Shilingi bilioni 106,867 na kwahiyo Deni la Taifa ni 47.4% ya Pato la Taifa na sio 41% kama tulivyokuwa tumeambiwa hapo awali!

Aidha, ikumbukwe kwamba, deni hilo ni hadi June 2017. Kwa maana nyingine, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hivi sasa kiwango cha deni halisi la taifa kimezidi nusu ya pato la taifa!
Kwa hiyo wanashusha deni ili iwrje? Maana deni halifutiki isipokuwa kwa kulipa au kusamehewa na mkopeshaji. Tulisamehewa kwa baadhi ya madeni enzi za Mkapa ambako kulikuwa na uhusiano mzuri wa kuheshimiana kati ya wadai na mdaiwa.

Hili la kushusha deni ni kujifanganya na hasa kwa madeni ya nje. Wana rekodi zao na itafikia muda tutahangaika kutafuta pa kukopa na hatutapapata.
 
Wanataka tuwaone wana madeni yanayoweza kulipika wakati ukweli ni kwamba idara ya madeni ipo ICU
 
Hii serikali inaficha ufisadi wake kwa kupiga watu mikwara!! Bora hata jk japo ufisadi ulikuepo ila hatukupigwa mikwara na kutishiwa!!

Magufuli trillion 1.5 zetu ziko wapi? Je kwa ukwapuaji huu unadhan unaposema tukuombee Mungu atasikia dua zetu??
 
Subiri waje ndio utajua Tanzania tuna vilaza wengi Kama kina JINGALAO na washirika wake. Ila nina imani itafika time watakosa Cha kutetea na watapanda na ID mpya humu. Kwani kina LIZABONI yuko wapi siku hizi? Kaona Mambo si Mambo
Wewe mwenyewe Mkandahari ndio mchezo wako huo wa kubadilisha ID, na kufunga watu wasisome profile yako.
 
Yani INA maana jamaa anatupiga pesa matrilioni kwa mwaka....sasa hadi amalize miaka yake 30 si tutakuwa hatuna hata mia

Kweli tuliruka mkojo tukakanyaga mavi

hakuna pesa iliyopigwa ni mambo ya procedures tu yamekiukwa. Serikali ya magufuli haibi mtu kizembe watu wamekosa hoja ndie maana wanatafuta vitu vyepesi ili kuaminisha umma nchi inatafunwa.
 
Trilionis sio "kitu chepesi"

Hivi kwani magufuli kupiga hela kaanza Leo?
 
Majinga TUCTA yanakutana Morogoro na kuipongeza serikali huku yakijua Serikali Inatafuna hela ya wafanyakazi.
Imeniuma sana tangu mwakajana mwezi wa nane conract yangu imeisha pale fastjet NSSf wananizungusha tu nawadai karibu milioni 32.
Kumbe sheria zote za kukataa fao la kujitoa ni wizi wa Serikali ya Magufuli kwa wafanyakazi, Fikiria muda wote huu mtu huna kazi halafu hela yako halali umevuja jasho,bila huruma unadhulumiwa kweli huku mtu akijigamba yeye rais wa wanyonge kweli unatunyonga Rais wetu.
Mtu unaweza kusema ovyo kwa sababu ya njaa,Njaa huwa haina ustaraabu.
 
"ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu yafutwa, shughuli zake kuhamishiwa hazina"
"kuanzia mwaka wa fedha 2017/2018 report itakuwa inakabidhiwa kwa Rais na kujadiliwa ndani ya vikao vya baraza la Mawaziri"
Imetoka wapi hii tena ..........!!?

Kama ni kweli basi Malaika Mkuu kwenye next life hana nia ya kupambana na Ufisadi ...........!!
 
wek
Anyway, hapo juu nimeongeza chumvi, ndimu, pilipili, kachumbari na mbilimbi kwa mbaaaaali manake nimesikia Dar kuna bonge la pupwe!!

CAG hajasema serikali imedanganya deni la taifa bali Serikali Yashusha Deni la Taifa!!

Hivi si ndo kudanganya kwenyewe huko; au?! Hebu msomeni CAG kwenye ripoti yake kisha ndipo nihukumiwe:

Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.

Hapo utaona CAG anataja kiwango cha deni la taifa ambacho ni takribani Shilingi trilioni 4.6 ambacho serikali imekwepa ku-declare.

Mbaya zaidi, kati ya hizo, takribani Shilingi Trilioni 4.4 ni pesa za wavuja jasho... pesa za wafanyakazi! Pesa za wale wale wanaoamka alfajiri na kwenda kugombea madaladala ili wawahi kazini lakini serikali ni kama inasema "pesa zenu tumechukua na kuzitumia tumezitumia; lakini hamtudai!" Kisa?

CAG anaendelea:

Sasa kama huko sio KUDANGANYA kiwango halisi cha Deni la Taifa kumbe tuite nini?!

Yaani, nimekukopesha 1M na umezitumia lakini unaenda kwa demu wako unasema unadaiwa Laki 7 eti kisa tu, baada ya kukupa laki 3, nikasaini lakini chini ya sahihi yangu sikupiga mstari na kwahiyo hilo deni la laki 3 hulitambui... ebo!!

Wakati unazitumia hukuona mapungufu lakini katika kumwambia demu wako kwamba unadaiwa ndo unaona mapungufu!!

That said, kwa kutumia ripoti hiyo hiyo ya CAG kwamba:

Na kujumuisha taarifa kwamba:

Kwa taarifa hizo mbili, utaona kiwango SAHIHI cha Deni la Taifa ni Shilingi bilioni (46, 081.43 + 4, 588.39) = 50,669.82 ambalo ni takribani Shilingi Trilioni 51 na sio Shilingi Trilioni 46.

Aidha, ripoti hiyo hiyo ya CAG inasema GDP yetu ni Shilingi bilioni 106,867 na kwahiyo Deni la Taifa ni 47.4% ya Pato la Taifa na sio 41% kama tulivyokuwa tumeambiwa hapo awali!

Aidha, ikumbukwe kwamba, deni hilo ni hadi June 2017. Kwa maana nyingine, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hivi sasa kiwango cha deni halisi la taifa kimezidi nusu ya pato la taifa!
weka lichokiandika CAG watu asome wenyewe, siyo kuwawekea hisia zako!
 
Sitashangaa kabisa hili likitokea katika huu utawala dhalimu wa D.

Mkuu tafadhali. Unaumiza wastaafu wengi mkuu.

CCM imekopa NSSF zao takribani milioni 300 na haijazilipa.

Halafu hizi ni trillion 4 serikali inagoma kulipa kisa wizara imesema mkopo uingizwe akaunti A, huku hazina ikisema uingizwe akaunti B. Ila mwisho wa siku serikali hiyo (hazina) ndo alipanga matumizi na akatumia.
Mkuu tukutane sehemu tuyajenge...
 
Na hicho nilichoweka hapo juu kimeandikwa na nani?!
Achana na Sophist ni sawa na YEHODAYA. Kanitukana kwenye thread ya Kafulila kumponda zitto juu ya ripoti ya CAG. Mi nawa ignore tu..
 
Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.
Mwongo. Ripoti ya CAG uk 102 hadi 110 hakuna hii stuff yako ya deni la taifa. Kurasa hizi zinaeleza juu ya:

5.4 UKAGUZI WA HESABU ZA TAIFA-HESABU JUMUIFU
5.4.1 Utangulizi

5.4.2 Hali juu ya Utekelezaji wa Viwango vya Kimataifa katika sekta ya Umma visivyo na Msingi wa Taslimu (IPSAS Accrual) mnamo mwisho wa kipindi cha mpito

5.4.3 Hesabu zilizojumuishwa zikiwa na tarehe tofauti na hesabu Jumuifu Bila Kufanya Marekebisho

5.4.4 Hesabu zilizojumuishwa kwenye hesabu jumuifu bila kusainiwa/kutolewa na mamlaka husika

5.4.5 Uondoshaji usiokamilika wa miamala baina ya taasisi zinazojumuishwa Shilingi bilioni 359

5.4.6 Uwekezaji wa mtaji wa biashara uliothaminishwa kwa gharama ya awali Shilingi bilioni 549

5.4.7 Kutoainisha na kutotambua dhima tarajiwa baada ya kuamuliwa

5.4.8 Uwekezaji hasi katika Mshikamano (Associate) na Ubia (Joint venture) Shilingi 405,349,237,000

5.4.8 Kuhesabu mara mbili mapato yaliyokusanywa na TRA kwa niaba ya taasisi nyingine TZS 325,308,753,499.97

Sasa hiyo spin yako ya deni la taifa umeipata ripoti gani katika kurasa hizo? Mwambie anayekulipa kufanya spinning humu JF kuwa tumekubaini sawia na ill-intension zako.
 
Back
Top Bottom