OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,693
- 106,060
Hata Mimi ninayo na vikao vya chama nahudhuria na michango ya hapa na pale natoa.Bado kuna watu wanaridhika kutembea na kadi za CCM mifukoni mwao!
Nilishasema kuwa kumbe na wwe ni wale waleHela ya kawaida kwa matengenezo ya ndege!
TuheshimianeBado kuna watu wanaridhika kutembea na kadi za CCM mifukoni mwao!
Hela ya kununua dash 8 mbili na chenji inabakiCAG: NGORONGORO ILITUMIA TSH. MILIONI 278.42 KUKARABATI NDEGE YENYE MIAKA 47
Kupitia Daftari la Mali za Kudumu za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, CAG alibaini kuwa Mamlaka inamiliki ndege aina ya CESSNA 182P yenye Namba za Usajili 5H-MPZ
Ndege hii kufikia Juni 30, 2021 ilikuwa na miaka 47 na ambayo ilikusudiwa kuwezesha doria za usalama ndani na karibu ya Eneo la Hifadhi
Amesema kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2018/2019 hadi 2020/21, Mamlaka ilipanga ndege hiyo ifanye safari kwa saa 900 kwa ajili ya doria za ulinzi lakini iliweza kufanya safari kwa saa 18 tu (asilimia 2) wakati gharama za matengenezo zilizotumika zilikuwa Tsh. 278,420,000
Mahaba yanakuathiri sana. Yaani matengenezo yakosti 70% ya kununua ndege kama hiyo halafu unaona kawaidaHela ya kawaida kwa matengenezo ya ndege!
Hela ya kawaida kwa matengenezo ya ndege!
Wafanyaje kusoma na kuandika hawajui mengine yanayohusu ufikirie utayajibujeBado kuna watu wanaridhika kutembea na kadi za CCM mifukoni mwao!
MaCCM wote akili zao hazina akili.Bado kuna watu wanaridhika kutembea na kadi za CCM mifukoni mwao!