Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 5,509
- 4,819
Inna lillahi wa Inna illayhi rrajiuun...
#DoNotDoHarm
#DoNotDoHarm
Bwana Yesu ametoa na bwana Yesu ametwaa na Yesu aabudiwe na jina lake liidimiwe.Habari nilizozipata ni kuwa aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu sa Serikali CAG Prof Assad amefiwa na mkewe ghafla usiku wa leo
Msiba upo nyumbani kwake Tegeta na maziko ni leo saa 10 jioni Magomeni
Poleni kwa Familia ya Prof Assad, ndugu jamaa na marafiki wote
---
Mkurugenzi wa Tawheed Development Network Profesa Musa Juma Assad anatangaza msiba wa katibu wa TAWHEED Dr Badria Bave Msambichaka kilichotokea ghafla usiku wa jana jumanne tarehe 16 Aprili 2024
MAREHEMU DR BADRIA AMBAYE NDIYE MKEWE PROFESA ASSAD ATAZIKWA LEO SAA KUMI MAKABURI YA MWINYI MKUU MAGOMENI DSM NA MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE TEGETA
Hakika msiba ni Qadar .Marehemu Dr Badria amehitimu shahada ya PhD ughaibuni hivi karibuni.
Lakini pia amekuwa nchini India hospitali kwa muda mrefu sana akimuuguza mwanae wa mwisho.
WanaTawheed wote wakiwemo mahujaji na waislamu wote wanamuombea msamaha kwa mwenyezi Mungu amzidishie nuru kaburini kwake amjaalie firdausi kwa kuwakirimu na kuwahudumia mahujaji maishani mwake...
Tunaiombea Subra familia ndugu jamaa na marafiki
LEO TUPO KESHO HATUPO TUTENDE WEMA KABISA
Innalillah wainalillah Rajiina
Juma Nchia
Afisa habari Tawheed.
0784822332
Tarehe 17 /4/2024.Saa:2:00 Asubuhi
Dodoma.
--------------------------------
UPDATES:
MABADILIKO YA RATIBA YA MAZISHI YA MKE WA PROF ASSAD
KUNA MABADILIKO YA MAZIKO YA MKE WA PROFESA MUSSA ASAD WANAZIKA KESHO SAA TANO MAKABURI YA KISUTU NA ATASWALIWA MSIKITI WA MAAMUR
WAJULISHE NA WENGINE TAARIFA HIZI
Kwa maelezo zaidi.
0784822332.
Kuaga nini ndugu?Mkuu ndugu watakuja kuaga saa ngapi?
Hayo ni maneno tu ya Ayubu baada ya kujikatia tamaa.Bwana Yesu ametoa na bwana Yesu ametwaa na Yesu aabudiwe na jina lake liidimiwe.
MwiliKuaga nini ndugu?
Mwamba huyo hapo chini maamaee.Hayo ni maneno tu ya Ayubu baada ya kujikatia tamaa.
Yesu sio myahudi, umepigwa.... ni mhabeshi.
Innalillah wainna iraih rajiunHabari nilizozipata ni kuwa aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu sa Serikali CAG Prof Assad amefiwa na mkewe ghafla usiku wa leo
Msiba upo nyumbani kwake Tegeta na maziko ni leo saa 10 jioni Magomeni
Poleni kwa Familia ya Prof Assad, ndugu jamaa na marafiki wote
---
Mkurugenzi wa Tawheed Development Network Profesa Musa Juma Assad anatangaza msiba wa katibu wa TAWHEED Dr Badria Bave Msambichaka kilichotokea ghafla usiku wa jana jumanne tarehe 16 Aprili 2024
MAREHEMU DR BADRIA AMBAYE NDIYE MKEWE PROFESA ASSAD ATAZIKWA LEO SAA KUMI MAKABURI YA MWINYI MKUU MAGOMENI DSM NA MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE TEGETA
Hakika msiba ni Qadar .Marehemu Dr Badria amehitimu shahada ya PhD ughaibuni hivi karibuni.
Lakini pia amekuwa nchini India hospitali kwa muda mrefu sana akimuuguza mwanae wa mwisho.
WanaTawheed wote wakiwemo mahujaji na waislamu wote wanamuombea msamaha kwa mwenyezi Mungu amzidishie nuru kaburini kwake amjaalie firdausi kwa kuwakirimu na kuwahudumia mahujaji maishani mwake...
Tunaiombea Subra familia ndugu jamaa na marafiki
LEO TUPO KESHO HATUPO TUTENDE WEMA KABISA
Innalillah wainalillah Rajiina
Juma Nchia
Afisa habari Tawheed.
0784822332
Tarehe 17 /4/2024.Saa:2:00 Asubuhi
Dodoma.
--------------------------------
UPDATES:
MABADILIKO YA RATIBA YA MAZISHI YA MKE WA PROF ASSAD
KUNA MABADILIKO YA MAZIKO YA MKE WA PROFESA MUSSA ASAD WANAZIKA KESHO SAA TANO MAKABURI YA KISUTU NA ATASWALIWA MSIKITI WA MAAMUR
WAJULISHE NA WENGINE TAARIFA HIZI
Kwa maelezo zaidi.
0784822332.
Kwa huyu usiwe hoi, wanazika kesho.Waislamu huwa wana niacha hoi hapo kwenye kuzika haraka, mtu amefariki leo leo na leo leo anazikwa
Huyu marehemu ni Islam, heshimu imani yakeBwana Yesu ametoa na bwana Yesu ametwaa na Yesu aabudiwe na jina lake liidimiwe.
Kwa namna wanavyoosha mwili kama hujafa lazima uamue kufa kabisa auuuu ndio uzinduke Sasa, na utazinduka tu hata ukijivungaHili jambo wakati mwingine ni jambo jema lakini hizi haraka haraka mnaweza kumzika mtu aliyezimia tu.
Kama kazimia tu hajafa, basi tendo la kumkamua Lita saidia sana kum maliza. Wataalam wa afya ya binadamu watusaidie hapo.huwezi zimia ukaacha kuamka kwenye kukamuliwa uchafu.... ingekua wanazika na uchafu tumboni hapo wengi wangezikwa hai
Vyovyote vile haijalish hata angekuwa mmang"ati.Yesu sio myahudi, umepigwa.... ni mhabeshi.