Hahaaa, mmechelewa sanaHuyu jmaa wizi wake wa akili sana kweli yawezekana ameiba lkn ni mpiganaji sana kma anyosema zitto kujiamini kwake uwezi kujua kma fisadi lzm na yeye amfate muhongo
Zitto naye ni mtu wa kujificha kwa wenzie, Ngelejakamtingisha kidogo tu juzi ameibukia kwa Maghufuli? Maghufuli tunaye na tutasonga naye mbele.Huyo magufuli ndiye mwenye afadhari huko ccm na mkianza tena kwa huyo ccm watajuta mwaka huu.
ZZK wa siku hizi mmmhhh,hapo yeye kamaliza kazi yake
Wamechokoa mzee wa takwimu watakiona cha moto.Hamuwezi magufuri jamaa data zipo kichwani atamsomea data zote CAG
Hamuwezi magufuri jamaa data zipo kichwani atamsomea data zote CAG
Maghufuli hata kama kweli angwkuwa ameiba tofauti wanavyomsongizia bado kura za watanzania atazizoa endapo ataamua kugombeaSi kila data ni geinuine,
Ndo maana kuna kufanya verification ili ku-determine ukweli wa data hizo!
Kweli kabisa mkuu. Hata kura yangu ataipataMaghufuli hata kama kweli angwkuwa ameiba tofauti wanavyomsongizia bado kura za watanzania atazizoa endapo ataamua kugombea
Alishapewa nafasi hiyo ya kumwaga hizo data ila kaishia kutema uongo na porojo tuu!!! Data gani nyingine ataleta?ama kwanza atakiri kuwa zile za awali zilikuwa za uongo?Hamuwezi magufuri jamaa data zipo kichwani atamsomea data zote CAG
Semeni yote ila kwa Maghufuli wananchi watawapigeni mawe. MAGHUFULI ni lulu. Hayo anayozushiwa ni saw kwa binadamu yeyote kama ilivyo kwa ZITTO na Leka Dutigite.Alishapewa nafasi hiyo ya kumwaga hizo data ila kaishia kutema uongo na porojo tuu!!! Data gani nyingine ataleta?ama kwanza atakiri kuwa zile za awali zilikuwa za uongo?
Cc Ruttashobolwa
Unazungumzia ya leo tu!! Huyajui ya kesho,hata prof muhongo tulimwamini sana tu usiku,ila kulipokucha tukajisahihisha na matokeo yake umeyaona!!tuhuma moja tu ya maana itamfanya huyo "wakwenu"arushiwe mawe popote atapopita.Semeni yote ila kwa Maghufuli wananchi watawapigeni mawe. MAGHUFULI ni lulu. Hayo anayozushiwa ni saw kwa binadamu yeyote kama ilivyo kwa ZITTO na Leka Dutigite.