CAG lazima aondolewe, mbinu imeshasukwa

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Ndugu zangu hasa kaka zangu ambao mmekuwa mkishiriki mijadala mbalimbali hapa JF, napenda kuwahakikishia kwa mara nyingine tena kuwa CAG ameshasukiwa mbinu ya kumwondoa madarakani.

Mara nyingi nimekuwa nikitoa taarifa au kuandika baadhi ya post na hakika mambo yamekuwa yakitokea kama nilivyo predict..

Wapo wataalamu wa kubeza posts za watu wengine bila kufanya utafiti, nakumbuka niliwahi ku post kuwa nimepokea taarifa kutaka Tanzania kuwa Lissu kashambuliwa kwa risasi, mtu wa kwanza ku comment aliishia kunitukana, kuwa mimi ni muongo na chizi.

Tarehe 8/01/2019 nili post thread kibarua cha CAG kuota nyasi, naamini ndicho kinachoenda kutokea.
Upo mpango wa kuhakikisha CAG anaondolewa ofisini na mkakati huo unaongozwa na Speaker, na unazo baraka zote kutoka juu, amini usiamini hata kama ingakuwaje mwaka huu hauwezi kwisha CAG akiwa ofisini.

Mbaya zaidi wakubwa wanahisi kuwa CAG anatumika na wapinzani kuikomoa serikali ya ccm na kuvujisha siri kwa wapinzani kwa malengo ya kuichonganisha serikali kwa wananchi ambao waliokwisha kuamini kuwa hii ndio serikali pekee yenye nia ya kukomesha rushwa nchini.

CAG lazima aondolewe madarakani, hiyo ndio kaulimbiu iliyopo mioyoni mwa wazalendo namba moja
 
Kuvujisha siri? yani matumizi ya hovyo ya kodi za wananchi na misaada kwa maendeleo yanatakiwa kuwa siri leo? halikubaliki kamwe, kama kweli raisi wetu ana nia ya dhati ya kuisaidia nchi na wananchi wanyonge kama ambavyo huwa anajinadi basi anatakiwa kuungana na wananchi na kusimama na CAG.
 
Tayar hii ishu imesukwa!! Tunasubir uthibitsho tu kua Ni rasmi ofis cyo yake tena!!
20190415_094914_rmscr-1.jpeg
 
Uzuri fisadi halisi ameshajulikana,zile mahakama za mafisadi ndio maana hazina wateja!!

Subwoofer wacha atumike,mwakani atatupwa kama condomu baada ya kustarehesha watu,watamweka CAG butu,atasimikwa rasmi kale kabinti kembamba kuwa subwoofer, wivi ukitamalaki na huku madikiteta wakiwa busy kujaribu kubadili katiba ili waendelee kutawala na kuficha maovu yao!!

Awamu ya V-WONDERS!!
 
Kuvujisha siri? yani matumizi ya hovyo ya kodi za wananchi na misaada kwa maendeleo yanatakiwa kuwa siri leo? halikubaliki kamwe, kama kweli raisi wetu ana nia ya dhati ya kuisaidia nchi na wananchi wanyonge kama ambavyo huwa anajinadi basi anatakiwa kuungana na wananchi na kusimama na CAG.

Atasimama na CAG kivipi wakati chama chake kimesimama kinyume na CAG?
 
Ndugu zangu hasa kaka zangu ambao mmekuwa mkishiriki mijadala mbalimbali hapa JF, napenda kuwahakikishia kwa mara nyingine tena kuwa CAG ameshasukiwa mbinu ya kumwondoa madarakani.

Mara nyingi nimekuwa nikitoa taarifa au kuandika baadhi ya post na hakika mambo yamekuwa yakitokea kama nilivyo predict..

Wapo wataalamu wa kubeza posts za watu wengine bila kufanya utafiti, nakumbuka niliwahi ku post kuwa nimepokea taarifa kutaka Tanzania kuwa Lissu kashambuliwa kwa risasi, mtu wa kwanza ku comment aliishia kunitukana, kuwa mimi ni muongo na chizi.

Tarehe 8/01/2019 nili post thread kibarua cha CAG kuota nyasi, naamini ndicho kinachoenda kutokea.
Upo mpango wa kuhakikisha CAG anaondolewa ofisini na mkakati huo unaongozwa na Speaker, na unazo baraka zote kutoka juu, amini usiamini hata kama ingakuwaje mwaka huu hauwezi kwisha CAG akiwa ofisini.

Mbaya zaidi wakubwa wanahisi kuwa CAG anatumika na wapinzani kuikomoa serikali ya ccm na kuvujisha siri kwa wapinzani kwa malengo ya kuichonganisha serikali kwa wananchi ambao waliokwisha kuamini kuwa hii ndio serikali pekee yenye nia ya kukomesha rushwa nchini.

CAG lazima aondolewe madarakani, hiyo ndio kaulimbiu iliyopo mioyoni mwa wazalendo namba moja
hiyo siku Tz patageuka Sudan
 
Hongera kwa kutembea sawa na mawazo yangu. Nimesema toka mwanzo, asiyemtaka CAG ni jiwe ila anamtumia spika kutekeleza hilo. Rejea awamu hii ilipoingia madarakani tu ofisi ya CAG ilipunguziwa fedha, na haya ni maamuzi ya jiwe kwani walikuwa hawaelewi na CAG. Ni lile sakata la 1.5t ndio liliweka chumvi kwenye kidonda, kwani limeicha uchi awamu huu ya jiwe kwamba sio waaminifu. Jambo hili limemuudhi sana jiwe ila kumuondoa kikatiba inamuwia ngumu kwani kitahitajika majaji toka nje na sio hawa wasakata tonge pekee. Saa hii CAG atafanyiwa vitimbi vyote ili kuhakikisha anaacha ngazi mwenyewe. Uzuri najua CAG anajua hizi hila zote na hatishiki.
 
If this is true..Sentensi yako wa mwisho. Kuwa wanaamini CAG anafanya kazi na wapinzani..swali langu who in hell is think tank wa hawa watu? The weak ass minds guys up there wanakuja na conclusion kama hii? Realy?
Just because CAG kasemaukweli.
Come on... kila siku tunahubir ukweli lakin ukisemwa watu wanakuwa wakali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom