CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Saiz watakuja za zile ngonjera zaoo oooh Alhajj Profesa Assad ni mjahidina mwenzake Dr Dauuu...

Bila shaka kafanya kumtetea...teh teh teh

Ebwana eeeeh Msimu wa embeee nyani hakondiii...
Teh teh teh....mungu si binadamu useme umpe majungu ayafanyie kazi.hakika dr dau yupo upande wa mungu.
 
Hili gazeti ina deal na individuals, ndiyo Yale yale ya chumia tumbo. Sasa wanashindana na Rai
 
Saiz watakuja za zile ngonjera zaoo oooh Alhajj Profesa Assad ni mjahidina mwenzake Dr Dauuu...

Bila shaka kafanya kumtetea...teh teh teh

Ebwana eeeeh Msimu wa embeee nyani hakondiii...

''Msimu wa Nyani, Embe hakondi'' Mkuu ahsante sana!
 
Usiwe mvivu wa kufikiri

Ingia kwenye website ya CAG utakuta hiyo report
 
Weeeeee nani hakuiba humor serikalini?
 
hiyo ni amri toka juu dau asiguswe. tumbua majipu ina double standard sana....
 
QUOTE="PACHOTO, post: 16010356, member: 65032"]Watakuja kusema bosi wa NAO ni mwislamu mwenzeke hawaishiwi maneno[/QUOTE]

Kama ni kweli kasema hivyo, basi huo ndio ukweli, jamaa islamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…