CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Gazeti kama mwanaharibu ukiwa na hamsini elfu habari yako inatoka unavyotaka wewe gazeti la waganga njaa.
Cc,murusuli
 
Hiligazeti ni la Zitto....mchange ndio analisimamia..wote walipiga Hela NSSF
 
Kwani episode ya NSSF imeisha???


Movie na maigizo yamekwisha wambea na wasiowambea waliochangia hii mada wameonekana poor thinkers.

Inabidi wana Jf tunao anzisha thread tubadilike tusikurupuke kuanzisha mada bila kuwapo na taarifa ya uhakika na ushauri wangu kuanzishwe kitengo cha tetesi humu Jf kabla ya kuipost kama habari kamili.
 
Kwa hiyo kila liandikacho gazeti ndiyo ukweli, nothing but ukweli? Litakuja gazeti lingine litasema kuna ufisadi NSSF. Tuchukue "ukweli" upi?

Sasa tunaelekea kushikiwa akili na magezeti, tena magazeti ya aina yake. Labda tusikie Mwananchi na Nipashe wanasemaje kuhusu hili.
 
Hoja za nssf ni hizo tunaweza pima wenyewe na kuacha ushabiki wa aina yoyote
 
Wagalatia wenye husda na Dr.Dau wanapita kwa mbali kwenye huu uzi wanajifanya kama hauoni.

Teh teh teh
Likija gazeti lingine likasema kuna ufisadi NSSF litakuwa la wagalatia?
 

Hoja za nssf ni hizo tunaweza pima wenyewe na kuacha ushabiki wa aina yoyote
 
Hakika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…