CAG alisema Mkataba wa Mlimani City wizi mtupu na Prof. Kitila amesema Mkataba wa Bandari unafanana Kila kitu na Mkataba wa Mlimani City

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,569
145,175
Kwenye sheria baadhi ya vifungu Ili vilete maana ni lazima usome na vifungu vingine na kuunganisha maudhui.

Hata Biblia hatusomi kama Gazeti bali iko mistari ambayo ni lazima isomwe pamoja.

Ili kumuelewa Prof Kitila kuhusu Mkataba wa Bandari na Mkataba wa Mlimani City kufanana kila kitu ni lazima Usome pamoja na Ripoti ya CAG kuelewa hicho " Kila Kitu".

Mungu wa Mbinguni ni mwema!

Pia soma
 
Ni mistari Gani kwenye biblia husomwa pamoja?
JamiiForums-454900825.jpg
 
HADI sasa nimejifunza Mama ni mtendaji mzuri AKIWA CHINI ya uangalizi lakini akiwa yeye kama yeye hawezi uongozi!!

Viatu ni vizito mno kwake!!

Sasa anamtuma kitila kama kitila kwenye hii ishu Ili iweje sasa!?

Hii ishu imechina na juhudi za kuipigania ni kuonyesha KUWA ni ishu ya kijinga sana ya dp world!!
 
Kwenye sheria baadhi ya vifungu Ili vilete maana ni lazima usome na vifungu vingine na kuunganisha maudhui

Hata Biblia hatusomi kama Gazeti bali iko mistari ambayo ni lazima isomwe pamoja

Ili kumuelewa Prof Kitila kuhusu Mkataba wa Bandari na Mkataba wa Mlimani City kufanana kila kitu ni lazima Usome pamoja na Ripoti ya CAG kuelewa hicho " Kila Kitu"

Mungu wa Mbinguni ni mwema!
CCM OOYEE Wasomi na Wanasheria wa HOVYO NDIO WANATUINGIZA KWENYE MIKATABA YA HOVYO
 
SSH ameshaharibu, na mbaya zaidi amekaza shingo, amekiharibia chama. Hata wenye akili wanalazimika kutoka nje na kutetea maamuzi ya hovyo aliyoyafanya. Mwisho wa siku credibility yake na chama kwa ujumla vimeporomoka.
 
Kwenye sheria baadhi ya vifungu Ili vilete maana ni lazima usome na vifungu vingine na kuunganisha maudhui

Hata Biblia hatusomi kama Gazeti bali iko mistari ambayo ni lazima isomwe pamoja

Ili kumuelewa Prof Kitila kuhusu Mkataba wa Bandari na Mkataba wa Mlimani City kufanana kila kitu ni lazima Usome pamoja na Ripoti ya CAG kuelewa hicho " Kila Kitu"

Mungu wa Mbinguni ni mwema!
Bwana asifiwe sana!
 
Tukiibiwa hata na WA South Africa hakuna shida
Wamarekani au hata WA Kenya hakuna shida kabisa...
Hatutaki Tu waarabu...

😅😅😅
 
Issue ya mlimani City in any means ni faida Kwani eneo lilikuwa pori, likageuzwa kuwa ajira Kwa Watu wengine, hatuwezi kufananishwa na bandari iliyokuwa inafanya kazi!!
 
Tukiibiwa hata na WA South Africa hakuna shida
Wamarekani au hata WA Kenya hakuna shida kabisa...
Hatutaki Tu waarabu...

😅😅😅
Waarabu ndio Wamarekani Wenyewe ndio sababu Taleban, Iran na Syria Wamekimbilia Urusi 😂😂😂

Juzi Kati Baba Mtakatifu Papa Francisco wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume alienda Saudia kukagua Msikiti Mkuu 😄
 
Palikuwa hapaingizi kipato chochote for that time!! Sasa Kuna ajira, na Kodi hiyo kidogo, na mwisho, Yaani after 25 years chuo kitamiliki, Sasa unaweza kufananishwa na endless mkataba!?
Tatizo ni chuo kikimiliki haifiiki hata mwaka vyoo vote vitakuwa vimebomoka na vichafu balaa...watu watagawana mapato bila kujali kwamba without reinvestment hakuna hiyo mlimani city unayoiona leo

Jinsi unaona watanzania wanashindwa kuingia mikataba yenye tija ndivyo ambavyo pia hawajui kuendesha biashara au organization...Tanzanians need to be transformed, mind set za watanzania zimejaa umasikini ndiyo sababu Kila mtu ama anafikiria kuhusu yeye bila kujali jamii yake ama leo bila kuangalia kesho itakuaje!

Poverty is a very bad attitude, maana mtu masikini kiakili na ki roho anakuwa kama malaya, hana choices ilimradi mdomo uende kinywani
 
Coming to DP world honestly ni tabia zile zile za kupenda kutanguliza tumbo mbele na kusahau nchi hii ni ya sote, kisha kujiwazia binafsi bila kujali kesho ya wengine na nchi Kwa ujumla wake....DPW hawana tatiZo, matatizo yako na watanzania bila kujali dini, elimu, kabila ama age ..

Kurekebisha haya ni kuondoa huu mfumo dhalili unaowapa watu power bila checks tena watu ambao wamejaa poverty inside out....Ebu fikiria umri huu karne hii mtu anahongwa say gari ama nyumba kama hizo hearsay ni za kweli, vitu petty kama hivi na tu pesa tu dogo ambavyo baada ya miaka kumi anaweza kuja kujicheka mwenyewe; kisha anasahau everything kama siyo ulimbukeni ni kitu gani?

Naogopa sana watu wenye background za kimasikini, they are full of uncertainty na kukosa confidence katika maisha, kisha ana compansate Ile void ya background na material things....Tunahitaji kujenga watu kwamifumo inayoruhusu talent zao kuji express kisha wapate confidence kwamba wealth can easily be created bila kuwa mwizi, chawa ama tegemezi Kwa watu wenye wealth
 
Back
Top Bottom