CAG abaini madudu vyama vya siasa

CAG abaini madudu vyama vya siasa

Mkuu mimi mpaka leo naamini ruzuku ya CHADEMA inaishia mifukoni mwa wajanja wachache.
Unaamini hivyo kwa sababu wewe ni zezeta kama magamba wenzako. CAG amekagua hajaona hilo, lakini wewe kwa umbumbumbu wako bado unaamini ujinga.
 
Sikua na sina wasiwasi wowote juu ya matumizi ya ruzuku na pesa kutoka vyanzo vingine kwa CHADEMA. Daima nitakipenda CHADEMA.
 
Kama vyama havijapeleka balance sheets then hatuwezi kusema chama hiki kina hesabu sahihi au la. Set nzima ya financial statements inatakiwa ili kuleta thread nzuri na ku establish reasonable opinion. Watu mnaleta ushabiki wa vyama na pesa inaliwa na wachache. Kama alivyosema Zitto Kabwe: CHAMA KISICHOHESHIMU PESA YA UMMA KIKIWA NJE YA MADARAKA ITAKUWAJE KIKISHIKA DOLA?
 
Chadema pesa zetu zote za ruthuku tulikodi chopra. Hata Zotto anajua hilo, na zilizo baki tulimpa Lissu kwa ajili ya utetezi mahakani kwa case yake na Zitto.
 
Kila mwaka ofisi ya CAG imekuwa inabainisha ufujajii wa kutisha wa fedha za umma katika taasisi mbali mbali za umma.
Pamoja na kuwasilishwaa bungeni bado utekelezajii wake umekuwaa mdogoo sanaaaaaa..
Jee ni bora kutokuendeleaa kuiwasilishaa katika vikao vya bunge?
 
Back
Top Bottom