CAFCL updates ya kinachoendelea kwenye michezo mitatu

Ila haya mashindano ya CAF kama una timu yako inahitaji uwe na moyo mgumu sana maana ni magumu balaa. Watu wakiamua kukukazia, hata ucheze dakika 300 haupati goli.
 
Sababu al hilal aliongoza kundi lake ndio maana kapewa heshima ya kumalizia mechi home
Duh nilishasahau hilo. Nimepiga vimiminika kichwa hakipo sawa. Leo na kesho mkiona napost vitu vya ajabu mtanisamehe.
 
Kwa nini mechi ya kwanza ya Al Ahly na Al Hilal ilikuwa Misri wakati katika ranking, Al Ahly yupo juu na amekuwa juu kuliko Al Hilal?
Kuanzia nusu ndio huwa wanaangalia izo ranks.

Tobo viongozi wa makundi yao wanaanzia ugenini.
 
Ila haya mashindano ya CAF kama una timu yako inahitaji uwe na moyo mgumu sana maana ni magumu balaa. Watu wakiamua kukukazia, hata ucheze dakika 300 haupati goli.
Nakala kwa depotivo de utopwinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…