AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
Itakuwa wamechanganya na utajiri wa MO dewjiKlabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.
Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa naEsperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.
Klabu tajiri zaidi Barani Afrika
Chanzo: MwanaspotiApp
Nadhani,ila kufuzu michuano hii kwa hatua ya makundi kumeipa chati kubwaItakuwa wamechanganya na utajiri w MO dewji
This is....Simba! Nguvu Moja
Full Stop and Long Break
Duh...Wale pale kaunda wako wapi kwenye List za Caf
Simba kaza muda si mrefu tutakuwa tunaipumulia kisogoni Los blancos -Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.
Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa naEsperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.
Klabu tajiri zaidi Barani Afrika
Chanzo: MwanaspotiApp
KabisaHawajataja ya kuwa mashabiki wengi wa simba ni mambumbumbu au kipengele cha umbumbumbu hakikuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena shimbumbu kabisaKabisa
Maana mleta thread ni mojawapo ya mambumbumbu
Hata madrid ilifungwa tano na ipo katika timu tatu tajiri duniani.Ndo simba hii onayofungwa mpaka magoli 5 au.?
MmmmmhmWale pale kaunda wako wapi kwenye List za Caf
Simba kaza muda si mrefu tutakuwa tunaipumulia kisogoni Los blancos -Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app