AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,801
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.
Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa naEsperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.
Klabu tajiri zaidi Barani Afrika
Chanzo: MwanaspotiApp