CAF yafungua usajili wa muda mfupi kwa timu zilizoingia robo fainali

Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Pumbafu zako
 
Sasa wewe kucha kutwa humu kwenye nyuzi za Simba na Yanga unatafuta nini kama sio unafuatilia habari na comment za Simba na Yanga? Kwanini usitulie ufanye shughuli zako uache wanaopoteza muda? Yaani wewe ndio unaongoza kwa kurukwa na akili ila siku zote chizi hajioni ila anaona wenzie ndio machizi.
Lifala hilo
 
Yanga yule Skudu na Guede watupishe kwanza ......tusajili strikers 2 tufike hata nusu ...khaaaa
 
Back
Top Bottom